Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndoto za alinacha.., Tanzania ya CCM πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.., utapigwa na wenzio.,
 
Baada ya kubadilisha nn??? Ohhh Sisi Nye Nye Nye Tuna budget kubwa haya kiko wapi SASA , nchi haina hata mradi mmoja mkubwa wakimaendeleo alaf muko hapa kupigia watu keleleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Haya Niambie kwenye budget yenu wamebadilisha nn hakuna kilichobadilishwa na kupita imepita na watu wamekufa juu
 
Dar ndio inawanyima usingizi kila siku humu ndani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

SASA hvi mumebakia kurusha ngumi za hewani Tu, sisi Nye Nye nyeeeee
 
Dar ndio inawanyima usingizi kila siku humu ndani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

SASA hvi mumebakia kurusha ngumi za hewani Tu, sisi Nye Nye nyeeeee
Utalia hadi basi, haibadilishi lolote ng'o!πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndoto za alinacha.., Tanzania ya CCM πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.., utapigwa na wenzio.,
CCM inatawaliwa na watu makabila tofaut tofaut, nyinyi toka mupate Uhuru ni kabila mbili Tu ndio zimetawala out of 100 tribes

Kama sio kalenjin basi Kikuyu full stopπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Alaf mulivo mafala eti mulidanganywa Uhuru na ruto wamekosana haya kiko wapi SASA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nchi imekufa inanuka kila Kona nikipita watu wanalalamika wamechoka na umaskini πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Utalia hadi basi, haibadilishi lolote ng'o!πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
Munakwenda mbio na nchi imeanza kujengeka within 20 yrs period wakat Kenya toka mkoloni inajengeka haya kiko wapi SASA, tulifkiri muko level sawa na Singapore ila mambo kwa ground Burundi iko mbele yenuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Finance Bill sio budget mwenzangu , kumbe hauwelewi chochote, it's just a fiscal policy, tafuta breakfast ule🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Finance Bill sio budget mwenzangu , kumbe hauwelewi chochote, it's just a fiscal policy, tafuta breakfast ule🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Sisi tuna budget kubwa Sisi Nye Nye nyeee, ohhh Sisi wazungu weusi, Sisi ni USA ya Africa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ruto kawatekenya kidogo nishaanza kuuwana

Muishi kwenye maisha yenu na uhalisia wenu acheni Ku fake maisha dunia ishabadilika SASA inawacheka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Munakwenda mbio na nchi imeanza kujengeka within 20 yrs period wakat Kenya toka mkoloni inajengeka haya kiko wapi SASA, tulifkiri muko level sawa na Singapore ila mambo kwa ground Burundi iko mbele yenuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kiswahi tu, hausemi lolote!.., boss ni pale pale, hakuna chenye unabadilisha, Wacha kutumia nguvu nyingi., Tanzania ni Tanzania ilivyo., Kenya ni Kenya, wewe fikra zako ni zako tu, unasukumwa na ma feelings tu, kila kitu Kiko wazi huna uwezo wa kuondoa wala kuongezea, Wacha kujiliwaza πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Kauli yako hii, hizi ndio fikra zenu kwetu., mtanyooka., numbers never lie., mpo mpo tu, haubadilishi lolote ata ulie mwaka mzima🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kizungu chenu feki hakiwasaidii?😎😎😎
 
Lia kabisa 🀣🀣🀣
 
Mulikua munatutukama 90s Huko mpaka 2000+ hapo haya SASA matusi yakwap tena, na Sisi tulijua mushafika level za singapore Huko kumbe wenzetu badala kwenda mbele mulikua munarudi nyuma πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Nchi imefika pahala haina hata mradi mmoja wa maana unaofanywa na serekali na bado munapanua vipumulio Tu

Nchi imefika hatua hata stadium SASA inajengwa na kumilikiwa na wachina πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…