mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,513
Hiyo ilikuwa juu ya kenya kwa jumla sio nairobi pekee.hahaha....ni tu ati hamja min wa maana nje ya darislum ukaamua kutupostia ushago mzima ya Tanzania na vyakula vyenu vyote vs Nairobi
Hiyo ilikuwa juu ya kenya kwa jumla sio nairobi pekee.hahaha....ni tu ati hamja min wa maana nje ya darislum ukaamua kutupostia ushago mzima ya Tanzania na vyakula vyenu vyote vs Nairobi
Weka picha msee.Ya KU ishakamilika buda tunangoja ifunguliwe rasmi. I have been there personally delivering materials for the past two years.
Leteni zile tower mbili zenye mmezoea muwache story mingi.....GDP ya Nairobi ni 88% of Tanzania's GDP.......dar yenu labda kwa Mombasa tuYah,unachukua nai+mombasa=upate city moja yenye bahari.
Ndio ukuje kupambanisha na bongo yenye kila kitu.
Cha ajabu over 20 mlikimbia😀😀😀😀Leteni zile tower mbili zenye mmezoea muwache story mingi.....GDP ya Nairobi ni 88% of Tanzania's GDP.......dar yenu labda kwa Mombasa tu
Ipi na ipi?? Maana kuna pair 5Leteni zile tower mbili zenye mmezoea muwache story mingi.....GDP ya Nairobi ni 88% of Tanzania's GDP.......dar yenu labda kwa Mombasa tu
Waliongeza na kericho😀😀😀😀current situation of this battle:
nairobi,mombasa,nakuru,eldoret vs dar es salaam.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Safari hii dar imewashika kwenye makende vyemavile mlikimbia estates superhighways interchanges na planning...hahaha
Mzito Unye. Picha utazipata ikishafunguliwa.Weka picha msee.
Unangoja nani aifungue??
Baada ya kisu cha ngariba kukita sehemu yake
Leo wakenya wameileta mombasa kuja saidia nairobi baada ya nairobi kuonekana pumzi ndogo
Sasa rasmi thread itakua dar vs nairobi + msa😀😀
View attachment 645359

Maneno mengi hayavunji mfupa weka pichaMzito Unye. Picha utazipata ikishafunguliwa.
That pigeon eating maize is known as the Rock pigeon.kwenye upande wa food security wakenya wakianza kuonyesha picha kama hizi nitatuma maombi kwa management ya jf wafute ID yangu.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()