President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,671
- 94,326
Leta tangible topic tutajadiliana. Ukileta issue zako za kitoto tunakubamiza za kichwa. Uki brag tunaondoka na wewe, ukiandika uongo tunapita na wewe, ukija na style ya bullying tunakula kichwa chako. So usijiondoe ufahamu njoo na tangible facts.Kila mjadala kwenu huwa mnageuza unakuwa wa bus stages na Kibera. Sasa nawaonyesha Barabara ya kuconnect miji mikubwa mikoani ambayo ni vumbi tupu kwa km 297, wewe unaingiza bus stage. Bongolala ni bongolala tu. Yani unatoka bus stage modern alafu unakanyaga vumbi for 300km na unaona hayo ni maendeleo?
Hebu tutajie barabara ya miji mikubwa mikoani yenye urefu wa 300km yenye vumbi. Tusaidie mkuu wengine tupo Tz kuna mikoa hatujafika.Kila mjadala kwenu huwa mnageuza unakuwa wa bus stages na Kibera. Sasa nawaonyesha Barabara ya kuconnect miji mikubwa mikoani ambayo ni vumbi tupu kwa km 297, wewe unaingiza bus stage. Bongolala ni bongolala tu. Yani unatoka bus stage modern alafu unakanyaga vumbi for 300km na unaona hayo ni maendeleo?
Hivi hujakua ukifuatilia mjadala?Hebu tutajie barabara ya miji mikubwa mikoani yenye urefu wa 300km yenye vumbi. Tusaidie mkuu wengine tupo Tz kuna mikoa hatujafika.
Duh hizo huko ndani ni viazi au macho yangu jamani?View attachment 3021305
Mtu anayesema Tanzania iko 30 year ago. Check mji mkuu wao wa Nairobi
Jibu swali ni nairobi si Nairobi CBD? Acha kurukaruka kamacmaharage yako jikoni eti na viengereza vyako feki sijui downtown mara backstreet 🤣🤣🤣Lol, this is a backstreet lane - not a road. It is not in the CBD but Inner City area popularly known as Downtown. It is at most 20m long. You cant compare it with a 297km class B road connecting two major urban centers like Mpanda and Kigoma.
Mdogo mdogo mkuu Rome was not built in a day.Imeanza kazi hiyo kampuni? Vip imeleta mabasi mapya? Itaanza lini?
Vip mfumo wa kutumia kadi utarudi?
Wataongeza Mabasi? Yaliyopo yatakarabatiwa?
Vip option ya kutumia gasi au umeme kwenye mabus mapya. Umeme si upo mwingi?
Haya mambo yote yakisolviwa Mwendokasi itashinda tuzo kama ilivyoshinda 2018.
Kama ni so cool kwa nini mnatoka huku kwenda utumwani Saudi Arabia?
kama BRT walipata moto kuona terminal III inajengwa JNIA wakaamua kuiga! Naona saahii wanaugulia maumivu wamepasuka msamba!Wazee wa groundbreaking ceremonies 🤣🤣🤣
Botched JKIA Greenfield Terminal: Taxpayers pay 5bn for ‘grass’
No work was done yet taxpayers paid Sh4.7 billion in advance, Sh600m after KAA-contractor negotiationswww.the-star.co.ke
Greenfield was planned way before you thought of building your Mabati Rolling Mills.walipata moto kuona terminal III inajengwa JNIA wakaamua kuiga! naona wamepasuka msamba!
CC: NairobiWalker
Confirmation bias emanating from low self-esteem. All these white fools are failures, and coming to Africa is the only chance they have to win the hearts of those communities looking down upon them as losers.Mzungu ameamua Ku-confirm vitu ambavyo vloggers wengi huwa wanasema kuhusu vumbistan, tena wanabahati sana jamaa hapitii dar slum, the HQ of Uswazis and tope roads 😂😂...
-No electricity-No Fancy life-Dirt Roads-No shopping CentresView attachment 3021041View attachment 3021042View attachment 3021043View attachment 3021044View attachment 3021045View attachment 3021046View attachment 3021047View attachment 3021048View attachment 3021049View attachment 3021050
Tunasaidiana na wageni wengine kuwajengea mji maana wenyeji uwezo mdogo 😁Hadi Wachina wanaona tupo jino kwa jino kuwarembeshea hawa wakundustan Skyline 😂
View attachment 3020954
View attachment 3020951
Infact it’s the opposite… mabati Rolling mills terminal was their response to our Greenfield…. Bongo is the king of knee jerk reaction against Kenya… always!…🤣🤣Greenfield was planned way before you thought of building your Mabati Rolling Mills.