NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,316
- 19,685
"Barabara zake"Hata hapa nimepost video moja tu ya Sinza ambayo Barabara zake zina horizontal infrastructure nzr sana kuliko Nairobi CBD lakini Wameikacha wamekimbilia mitaa ya mbezi chini na kwa zena huko karibu na kawe
Nimeamua niachane nao
Yaani hata sijui hawa nyang'au kwa nini wanaigopa sana Tz?😎Kenya hired kwaajili ya kuichafua Tanzania We all know you. Mwambie aoneshe Ticket ya Air Tanzania 🤣 🤣 🤣 🤣
Shughulikia kwanza hii kitu mzee. Kisha uje kuanza kuongelea issue za mtu akipita porini 🤣 🤣 🤣 🤣 Kwa sasa huna haki ya kuongea chochote kuhusu Tanzania.Ndio hizi Barabara huwa tunaambiwa zipo mashinani bongolala.😂😂😂
View: https://youtu.be/xPqFFQ4GFhU?si=2OGEkUANGyHwEi9w
Huna haki yoyote ya kuongelea Tanzania mpaka utakapokuja na jibu la uhakika kuhusu Urafiki wa Kenya na Njaa 🤣 🤣 🤣 🤣"Barabara zake"
Barabara Moja inayopita kwa shopping center ndio unaita Barabara zake. Alafu Barabara yenyewe ya kawaida sana.😂😂😂
Always ni wao tu wanalalamika na kuisema vibaya Tanzania.
Tazama Barabara za kitui county na ukambani zilivyo na mnajiita mna best roads in East Africa 😂Ndio hizi Barabara huwa tunaambiwa zipo mashinani bongolala.😂😂😂
View: https://youtu.be/xPqFFQ4GFhU?si=2OGEkUANGyHwEi9w
Na kuna mwingine kwenye youtube anajiita iam_peris ameenda coco beach analalamika kuhusu chakula, huku akimponda Explore with Bertin eti alidanganya kuhusu vyakula Coco beach. Ameenda maeneo wanapouza mihogo anatafuta apate ugali 🤣 🤣 🤣 🤣 Wote wanakuja hapa Tanzania wapo na mission ya kuchafua image ya Tanzania. Kwa sasa tumewashitukia. Tutaishauri serikali ianze kuwapiga spana wakija Tanzania.Always ni wao tu wanalalamika na kuisema vibaya Tanzania.
Hata huyo Aliyekuja kujaribu treni. Mara aseme blackout. Wakati wanakuwa wanachange source ya power na anaona treni inatambea.
Yaani ni kama wana mission moja ya kuharibu image ya Tanzania Duniani ionekane mbaya. Wanaona Tanzania inawaacha mbali so kazi walionayo ni kuiponda kila wakipata nafasi.
Mwingine nimemuona jana kwenye YouTube yake anasema Airport Road is too dusty😂 wakati iko under construction na wanaweka BRT system.
Kimsingi tunaishi na wachawi karibu.
Na mwingine huyu hapa anaitwa Kish My World amekuja na kidemu kutoa Eritrea wanaiponda Tanzania. Wakenya wote wanakuja Tanzania wakiwa na mission ya kuichafua Tanzania. But The good thing tumeshawaelewa. We will deal with then. Na kwa sasa wameanza kuwahusisha Wanyarwanda katika ujinga wao. Sisi tuta deal nao both.Always ni wao tu wanalalamika na kuisema vibaya Tanzania.
Hata huyo Aliyekuja kujaribu treni. Mara aseme blackout. Wakati wanakuwa wanachange source ya power na anaona treni inatambea.
Yaani ni kama wana mission moja ya kuharibu image ya Tanzania Duniani ionekane mbaya. Wanaona Tanzania inawaacha mbali so kazi walionayo ni kuiponda kila wakipata nafasi.
Mwingine nimemuona jana kwenye YouTube yake anasema Airport Road is too dusty😂 wakati iko under construction na wanaweka BRT system.
Kimsingi tunaishi na wachawi karibu.
Naona zote ziko na lami. Hapo kwenu ni vumbi tupu.😂😂Tazama Barabara za kitui county na ukambani zilivyo na mnajiita mna best roads in East Africa 😂
Yaan kinchi chenu kidogo mnashindwa hata kuondoa mashimo na kuweka lami kwenye main Roads
View: https://youtu.be/ALdGLLterCw?si=pVAeyOYTh8UlFIuF
Miss Teargas Hebu tupatie maelezo kuhusu njaa isiyoisha huko kenyaNaona zote ziko na lami. Hapo kwenu ni vumbi tupu.😂😂
View: https://youtu.be/xPqFFQ4GFhU?si=2OGEkUANGyHwEi9w
Thanks for the render …🤣🤣🤣🤣🤣🤣.. ( irony)Hadi Wachina wanaona tupo jino kwa jino kuwarembeshea hawa wakundustan Skyline 😂
View attachment 3020954
View attachment 3020951
Asee kumbe hii ni mpya kwenye maganda yake! 😂😂😂
Rural bongoslum is poverty on steroids. 🤣🤣🤣🤣 Kino Yves alisema kupata accommodation ina hot shower Kigoma ilikua balaa.Ndio hizi Barabara huwa tunaambiwa zipo mashinani bongolala.😂😂😂
View: https://youtu.be/xPqFFQ4GFhU?si=2OGEkUANGyHwEi9w
Umenotice tangu avuke border akaingia bongoslum vile anapita watu wengi kwa barabara wakiwa wamebeba kuni. 🤣🤣🤣 Poverty on steroids.Naona zote ziko na lami. Hapo kwenu ni vumbi tupu.😂😂
View: https://youtu.be/xPqFFQ4GFhU?si=2OGEkUANGyHwEi9w
Jamaa anajaribu kupretend hajaumia kama wenzake kina choo boy na choice variable kuona pesa zao zinadevelop NBO wakati Arusha Conference centre imekua scrapped off.Thanks for the render …🤣🤣🤣🤣🤣🤣.. ( irony)
Alafu washamba balaa. Wanmfuata ni kama wameona kuku wa miguu minne hivi.😂😂Umenotice tangu avuke border akaingia bongoslum vile anapita watu wengi kwa barabara wakiwa wamebeba kuni. 🤣🤣🤣 Poverty on steroids.
Hahaha… Kenya 🇰🇪 kweli ni nchi ya freedom of speech… mtu ana make fun of the President’s looks and no harm to them… I dare any Bongolala to make fun ya sura ya mama …. Kitaumana …🤣🤣🤣🤣Social media imejaa comments za watanzania waliopendezwa na nguvu ya wananchi wa Kenya..
View: https://twitter.com/IAMartin_/status/1803101096929337813?t=6EfbViIdBa37kmiU8kttTg&s=19
But I can guarantee you they are not putting up twin towers just for the Embassy… it’s a business venture… they know the booming real estate of Nairobi will bring high returns to the investment, otherwise this should be built in Dar es Slum but it won’t coz it would be a huge loss to Bongo taxpayers….🤣🤣🤣… I know the truth hurts..🤣🤣Kwa wale ambao wameshtuka kuhusu Twin Towers za Tanzania kujengwa Nairobi. Huo mpango ulianza toka 2010, Kwa wale wa Skyscrapercity watakumbuka, kilichobadilika ni render tu na kiwanja kinaweza kuwa hiko hapo 😎 japo sina uhakika.
Tanzania pia inamiliki Jengo Washtong DC linaitwa Tanzania House, Ni mali yetu walipa kodi na Tujivunie.
View attachment 3020990