Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Moto wa wabongo kule tiktok kunyan amuuwezi
Kuna jamaa aliandika tiktok kwamba Mara ya mwisho harambee stars ilicheza na taifa stars raisi wenu alikufa kwa mshtuko wa moyo, mpaka sahii naisha๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
 
Maeneo ya Tanga beach nilienda last time nilivokuja bro tanga imejengeka mzee ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Kuna jamaa aliandika tiktok kwamba Mara ya mwisho harambee stars ilicheza na taifa stars raisi wenu alikufa kwa mshtuko wa moyo, mpaka sahii naisha๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
Childish ideas. Mtu mzima hawezi kuwa na mawazo kama haya yako.
 
Mkuu umeongea kitu kuhusu mbuzi hapo unaweza ukani PM!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ