Hutowai sikia mnunuzi akilia eti muuzaji amekataa kumuuzia. Ndio maana sahii nyie na Uganda ndio mnapigania Zambia na sio the other way round. Kila mara mnunuzi ndio boss.Kundustan mmja alisema eti wanategemea mahindi kutoka Zambia wakati Tanzania ndio inalisha Nchi zote Kwa sasa 😂😂👇👇
View: https://twitter.com/DailyMonitor/status/1802567365651013910?t=ne3NzrA0XIURtWRcQAeRCw&s=19
Nyie wakunya changamkieni hiyo fursa mtakuja kulialia hapo mbeleni wacha KETRACO waendelee kukosa hela ya kulipa fidia wakati AfDB wameshatoa hela tayari tangu 2015
Muoneshe hii ili umchome roho 😂😂😂Pumbavu wewe kwani mlipopanga kujenga reli mlipanga iishie porini huko suswa?
Nyie wakunya changamkieni hiyo fursa mtakuja kulialia hapo mbeleni wacha KETRACO waendelee kukosa hela ya kulipa fidia wakati AfDB wameshatoa hela tayari tangu 2015
Kibera Mathare mukuru kwa njenga pipeline korogocho ndio sura ya Kenya 🤣🤣🤣Ndiyo sura ya Tanzania mkuu., tusisumbuane asubuhi🤣🤣🤣🤣🤣.,
Misplaced priorities kila siku huwa nawaambia hapa. Pili you have a new nickname a major non NATO member kwenye category ya US allies so brace yourself for CIA run US corporateocracy.
Yanga hawawezi kukubali upuuzi huo wanapeleka timu Europe for pre season training.Yanga wamekubali aliko? Have they confirmed! Haven't seen this news...,
Daily dose 🤣🤣🤣🤣
Aki hii picha inaumiza sana lengo halijatimia na bado wameshaanza kulipa mikopo ya hii reli dah.
Tusipowapelekea watakuja kujazana huku kwetu na kutufundisha tabia zao mbaya na pia wanaweza wakaja kuanzisha slums hukuWakunya wasiuziwe umeme... Waendelee na utoto wao tu na foolish ego... Wenye viwanda huko kwao watahamisha uwekezaji.. Kupeleka sehemu yenye cheap na reliable power supply.
Tunatakiwa kuwakalisha hao kenge wa North on their knees mpaka watubu dhambi yao ya unafiki na uzandiki.
Hawa jamaa walikuwa wanatubeza tuna umeme wa kutosha wa ardhini,mara wa upepo kumbe ni KIFURUSHI toka Ethiopia 😆😆Tanzania is like water you cannot avoid it. Your fate is on our hands.
Huyu ndiye 👇 mnamtegemea kwa umeme 🤣🤣🤣🤣
Ethiopia’s power deficit push Kenya to mull deal
There’s a sizeable electrification deficit, resulting in widespread outages and low access to rural areas.www.theeastafrican.co.ke
Usiwe na pressure ngoja mchele wa Korea uishe ndio utajua mnunuzi ni boss ama sio😁Hutowai sikia mnunuzi akilia eti muuzaji amekataa kumuuzia. Ndio maana sahii nyie na Uganda ndio mnapigania Zambia na sio the other way round. Kila mara mnunuzi ndio boss.
Cha kufurahisha ngoma imefia ng'ambo ya daraja🤣🤣Aki hii picha inaumiza sana lengo halijatimia na bado wameshaanza kulipa mikopo ya hii reli dah.
🔨🔨🔨👇👇Hutowai sikia mnunuzi akilia eti muuzaji amekataa kumuuzia. Ndio maana sahii nyie na Uganda ndio mnapigania Zambia na sio the other way round. Kila mara mnunuzi ndio boss.