Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,230
- 35,641
Hamna kitu kibaya kama brainwashed na kukosa elimu bora,ukifuatilia argue na comment za wakunya humu na uhalisia wa maisha yao ndio utajua namaanisha nini,hawa viumbe ni wa kuwaonea huruma
$31B(Budget) - $22.5B(Revenue) = $8.5B(Deficit)
Is $8.5B 50% of $31B? πππ
Wewe huwa mjinga kila siku.
Bado joka linapasha misuli pembeni π€£π€£π€£Ndo kwanza safari ya kwanza ya SGR. πππ
Watanzania wengi wameanza kuwajua kunyan kiundan,humu mitandaoni hamna m TZ anaamini nyang'au kwa sasa,hapo zamani walituwahi kipropaganda tukawa tunaamini kunyaland nchi flan amazing now tumeshtuka,ingia kule tiktok uone wa TZ wanavyowaignore those rubbish kunyanHawana pakushika, wanaleta kila aina ya mada π€£π€£ ubishi na uongo tu. Wapumbavu sana hawa watu.. kiukweli hii battle imenifunza mengi sana kuhusu Tz na maendeleo, lakini pia nimepata kujua chuki, uongo na majigambo ya hawa Wapumbavu wa kikenya.
Bila hofu wala mashaka kwasasa nadiriki kusema Tanzania ni bora kuliko Kenya in so many ways .
Huyo kijana lazima alipata matatizo kwenye makuzi yake. ana shida kichwani.Sisi watanzania ni wastaarabu ni vyema mkaendana na ustaarabu wetu. Mambo ya matusi na lugha chafu ni kukosa maadili. Tubishane kwa hoja na sio kwa lugha chafu. Karibu tena.
Budget 31bn dollars, madeni 60% wage bill 38.4% inabaki kiasi gani?$31B(Budget) - $22.5B(Revenue) = $8.5B(Deficit)
Is $8.5B 50% of $31B? πππ
Wewe huwa mjinga kila siku.
Walituwahi kwenye PR sana hawa jamaa, ila kiukweli hawa ni wanyonge wetu.Watanzania wengi wameanza kuwajua kunyan kiundan,humu mitandaoni hamna m TZ anaamini nyang'au kwa sasa,hapo zamani walituwahi kipropaganda tukawa tunaamini kunyaland nchi flan amazing now tumeshtuka,ingia kule tiktok uone wa TZ wanavyowaignore those rubbish kunyan
ila sioni umuhimu wa tiketi za treni kuwa kama za ndege huko ni kuongeza gharama esp. era hii yenye QR code! Masanja anabidi kuliangalia hili kwa uangalifu! Kuna vitu vya muhimu kama kuboresha IT department kuliko hii mikogo isiyo na maana!Huyu jamaa anawanyoosha wakenya slowly
View: https://www.instagram.com/reel/C8RHNyvtmwb/?igsh=MXR5d3ZyY2JwOWp4Yw==
Hiv kama umeme umekuwa mwingi. Si wapunguze bei ya unit za umeme watu watumie umeme kwenye kila kitu? Umeme utumike.With this 330kV transmission line Zesco Limited is installing, will enable us to import power from Tanzania, which has excess power. #HH
Kutoka Zambia, acha tu wafanye hivi maana mgao wa umeme wanaopitia ni balaa.
Huyu mjinga ndiye huwa anaharibu mijadala humu ndani kwa kuleta kauli mbaya, za majivuno na kauli zingine kadha wa kadha zisizofaa kiasi kwamba na sisi inatubidi twende kwa beats hizo hizo anazoenda ili tuelewane, inajulikana dhahiri tabia za wakenya kwamba ni ngumu ku debate nao kiustaarabu lkn huyu mjinga huwa anavuka mipaka, ingependeza jamiiforums kuzipiga ban ya moja kwa moja π za wahuni kama hawa cz malezi mabovu na maisha magumu huenda ndiyo sababu ya kuwa na tabia hizi, lkn tabia zake za huko alipotoka asituambukize na sisi watanzania anatumia I'd mbili Teargas na Teargass kama atarudi kwa id nyingine akileta tena kauli mbovu piga ban.Asiye funzwa na mamaye hufunzwa na mod wa jf. πππ
Magufuli alisema bwawa likianza uzalishaji lazima umeme ushuke bei, cha kushangaza mamlaka zimekaa kimya juu ya hilo, hakuna hata mmoja anayeongelea kuhusu kushuka kwa bei ya unit ya umeme.Hiv kama umeme umekuwa mwingi. Si wapunguze bei ya unit za umeme watu watumie umeme kwenye kila kitu? Umeme utumike.
Watu wanajibana kutumia majiko ya umeme,washing mashine, friji, nk kwa sababu gharama bado ni kubwa kwa mtanzania wa kawaida
Hizo IDs ni za NairobiWalkerHuyu mjinga ndiye huwa anaharibu mijadala humu ndani kwa kuleta kauli mbaya, za majivuno na kauli zingine kadha wa kadha zisizofaa kiasi kwamba na sisi inatubidi twende kwa beats hizo hizo anazoenda ili tuelewane, inajulikana dhahiri tabia za wakenya kwamba ni ngumu ku debate nao kiustaarabu lkn huyu mjinga huwa anavuka mipaka, ingependeza jamiiforums kuzipiga ban ya moja kwa moja π za wahuni kama hawa cz malezi mabovu na maisha magumu huenda ndiyo sababu ya kuwa na tabia hizi, lkn tabia zake za huko alipotoka asituambukize na sisi watanzania anatumia I'd mbili Teargas na Teargass kama atarudi kwa id nyingine akileta tena kauli mbovu piga ban.