Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
Kuna mji wa maana gani hapo kenya ukitoa Nairobi..? Kitu chenye utapata katika hiyo battle ni interchange tu vitu zingine haiwezi toboa hata kwa uchawi.Hivi nikitoa Nairobi nawe utoe Dar wapi kutakuwa na miji ya maana?
hizo mahakama sasa ni containers na hapo ni Nairobi!
Wanafanya hivyo hata kwenye mahindi ,walianza mwaka juzi.Mnunuzi mkibwa wa Mchele Wetu Kwa Sasa ni Uganda.Hii sio coincidence lazima ni government's system sabotage haiwezekani mauzo yetu ya mchele Kunyaland yaporomoke hivyo kutoka 65k metric tones 2023 mpaka 16k metric tones 2024 lazima kuna sera mbovu za mipakani Kunyaland wameimpose kudhoofisha ease of access lakini walivyo wajinga hawajui tuna other 7 neighbors na biashara yetu kubwa ni SADC wala sio EAC
View attachment 3016493
View attachment 3016492
Sasa wewe maskini unajua nini kuhusu magari? Unajua hata bei ya wiper ya Suzuki Alto?🤣🤣🤣 unaropa kama fala.. ziko wapi hizo gari au unakunya tu.?
Wewe kima kama umeanza kuona magari ulivyofika Nairobi, mimi sio wewe mbwa wewe, mimi nimezaliwa uani kwetu kuna magari yamepaki already. 🤣🤣🤣Sasa wewe maskini unajua nini kuhusu magari? Unajua hata bei ya wiper ya Suzuki Alto?
Wewe jamaa juu ulikula Smocha ya 110 sasa hatutatilia? Kwa mambo ya magari achana nayo kabisa cause you don’t know anything there.Wewe kima kama umeanza kuona magari ulivyofika Nairobi, mimi sio wewe mbwa wewe, mimi nimezaliwa uani kwetu kuna magari yamepaki already. 🤣🤣🤣
Hujawahi hata kuona shawarma inafananaje halafu unaniuliza kuhusu magari.? 🤣🤣🤣
Najua kwamba nakuumiza sana kichwa, we endelea kuteseka 🤣🤣🤣 ndio furaha yangu.Wewe jamaa juu ulikula Smocha ya 110 sasa hatutatilia? Kwa mambo ya magari achana nayo kabisa cause you don’t know anything there.
Kwanza ushanunua kitanda? Ama tukuchangie pesa ununue?
Huna kitanda alafu pia unakula takataka.
Maskini haeziniumiza kichwa hata kidogo. Leta number yako nikutumie pesa ya hii month hili uache kusumbua wasichana wa wenyewe.Najua kwamba nakuumiza sana kichwa, we endelea kuteseka 🤣🤣🤣 ndio furaha yangu.
Akitoka Italy anaenda Switzerland kwenye mkutano wa peace talk wa Ukraine. Huyu ni zaidi ya Vasco Dagama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kakodisha tena ndege
View: https://x.com/generalroy999/status/1801296501580165614?t=qDKerwQc8iYq1lV-vyEN6w&s=19
View: https://x.com/cleophas245/status/1801292263298859156?t=cxCoZA97ZQLk_cidg2ebRw&s=19
View: https://x.com/josphatnjenga0/status/1801306489513996728?t=DTesfXiVOVbkb6XDB2sm5g&s=19
View: https://x.com/Briankigz/status/1801291834905256069?t=3kHmTfPZ0rn7HhspSCaSdg&s=19
Kwa jirani kunawaka moto😎😎Naona kama tutaamia Tanzania 🇹🇿 hivi karibuni maana nyumbani hapakaliki ila uchumi wee asikwambie mtu 😜