Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Liboya lingine, chokoraa la airport hehehehehe., mtaniua siku moja watanzania! hehehe
 
I told you. Umejionea sasa 🤣 🤣 🤣 🤣
Jamaa ni weupe hawajui lolote, leo ndipo nimeamini..
Yani wanapingana wao kwa wao, halafu wanajichanganya baadae anarudi anakugeuka tena...

Mtu anakuambia tofautisha PPP na cost of living... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 kumamaqe nmecheka sana...
 
Karibu sana. Nadhani kwa sasa utakubaliana na mimi. 🤣🤣🤣🤣
 
Wewe pumbavu demand huwa inakuwa kubwa kama supply ni ndogo, supply ya food stuffs huko kwenu ni ndogo kwasababu hamlimi ikatosheleza mahitaji kutokana na uwingi wenu, kanchi kenu ni kadogo lkn mpo wengi kama nzi na hamlimi kutokana na uzembe wenu na ndiyo maana huko kwenu kuna njaa since uhuru, hiyo ndiyo sababu inayofanya demand kuwa kubwa huko kwenu hususan ya food.
 
According to reasoning yao watakuambia wako na high purchasing power than Americans ama Europeans😂😂
Don't dare kulinganisha developed countries na developing countries, kshs ni kubwa kuliko Japanese yen, je wewe mkenya ukienda Japan utatamba? Lkn kwnn hujiulizi mjapan wa kawaida akija Kenya anatamba, elimu yenu mbovu sana na ndiyo maana tukijadiliana humu mkishindwa mnaanza kutaja USA ******* nyinyi.
 
Nyamaza tu watchman, unahara buree.., unasukumwa na hisia hauna point, endelea kulinda airport chokoraa na usiombe wageni hela tosheka na mshahara wako fukara...,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…