President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,631
- 94,237
Nenda katibiwe kwanza mikono na vidole. Shakira Mohamed Boss wako wa zamani yupo TZNani hajui shawarma in this world? Is it new to you? Shawarma is a street food.
Anyway siku utaanza kukula food za maana si utakimbia uchi? Kama Smocha pekee ndio unapiga picha na kupost huku๐๐
Tanzania stinks poverty ๐๐๐Wamezoea kununua fossils, Bongolala nzima Dar is a slum pekee ndio kuna showroom ya brand new passenger cars. The rest of the country imejaa umaskini, hawawezi afford new cars. ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ 1 city country full of poverty.
Huwa tunacheka sana mnapo jifariji kwenye social media ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐ ๐ ๐ ๐Tanzania stinks poverty ๐๐๐
Sasa wewe inafaa ubakie hapa, hizi ndio unafaa uwe una post humu, hapa sitakukukosoa hii ndio level yako wewe na akina Sama Boy, topics za kushirikisha ubonga wachana nazo kabisaaa., hauna uwelewa wowote, akili yako ni ya kuvuka barabara, kujua kuvaa usitembee uchi, kukula na kukunya chooni.., zaidi ya hapo hamna kitu.,Huyu hapa NairobiWalker . Hizi ndizo sample za watu tunaojadiliana nao hapa ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ
View attachment 3015426
Kwa hii post hongera., hapa nitakubaliana na wewe, ndio level ya fikra zako.., keep up...,Huwa tunacheka sana mnapo jifariji kwenye social media ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐ ๐ ๐ ๐
View attachment 3015446
๐๐๐ Yani hawawezi ona ukitoa nchi zilizo na vita vya ndani, nchi Tajiri huwa na higher cost of living than nchi maskini.๐๐According to reasoning yao watakuambia wako na high purchasing power than Americans ama Europeans๐๐
Napitaga huku kimya kimya nyie hamnaga akili nakwambia kabisa,Na sio mimi tu tupo wengi tunashang'aa hawa watu wanaakil kwel?Ata hiyo primary na shuku, wengi wamejifunza mambo mengi humu, if you started with this thread earlier they were clueless, ata the word render it is us who introduced it to the idiots.., hawakujua.., bana have been with this guys for long, nilichoka nao..,
PPP na purchasing power ni vitu viwili tofauti. Nimekwambia urudi shule. Una mengi ya kujifunza.๐ฎ๐ฎ๐ฎ
We ni mweupe....
Mbwa jingine hili hapa..., imebakia kidogo wewe ukageuka waazimu..,Napitaga huku kimya kimya nyie hamnaga akili nakwambia kabisa,Na sio mimi tu tupo wengi tunashang'aa hawa watu wanaakil kwel?
Chakula kinawashinda upo hapo unabrag na lugha ya mwiingereza na vighorofa ya wachina na malls za wasomali!
Juzi tu rais wenu ameenda kuomba mchele bado upo hapo unabrag?
Aisee๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Watu ambao chakula tu kinawashinda nawadharau tu.Mbwa jingine hili hapa..., imebakia kidogo wewe ukageuka waazimu..,
Hawa wanajitoa ufahamu wazi wazi.., ukiwaumbua wanatafuta pakutokea na vijisababu uchwara.., ujinga tupu ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐๐๐๐ Yani hawawezi ona ukitoa nchi zilizo na vita vya ndani, nchi Tajiri huwa na higher cost of living than nchi maskini.๐๐
Wewe si umesema hakuna watu ambao hawakosi chakula hapo Mama Ngina Republic?Kwa hii post hongera., hapa nitakubaliana na wewe, ndio level ya fikra zako.., keep up...,
Wacha ufalamanga mbwa wewe, hiyo inatokana na ku import almost every food items na ndiyo maana huko vitu ni bei sana, chukulia mfano mdogo, kule china na ulaya bei za gari ni very cheap kama utachukua used car lkn ukiileta huku inakuwa gharama kubwa kwa sababu ya gharama za importation na taxes tofauti tofauti, the same applies to you interms of food stuffs, you import all food stuffs and mostly from Tanzania na ndiyo maana huko kwenu tukiongelea price ya vitu inakuwa juu, sasa huku kwetu gharama ni ndogo kwasababu food stuffs nyingi tunalima wenyewe lkn ukiangalia price za electronics almost the same Kenya and Tanzania hiyo ni kwasababu wote tuna import.This is because the demand for items in Dar ziko chini kuliko supply. In Kenya the demand is higher than the supply.
Utapia mlo ni jina lenu la kati na eti mko na ardhi yenye rotuba.., Laana ya mababu., akili ziliduaaWatu ambao chakula tu kinawashinda nawadharau tu.
This is a heavy beating ๐๐๐๐.Sasa wewe inafaa ubakie hapa, hizi ndio unafaa uwe una post humu, hapa sitakukukosoa hii ndio level yako wewe na akina Sama Boy, topics za kushirikisha ubonga wachana nazo kabisaaa., hauna uwelewa wowote, akili yako ni ya kuvuka barabara, kujua kuvaa usitembee uchi, kukula na kukunya chooni.., zaidi ya hapo hamna kitu.,
Hebu ona Ng'ombe hii tena ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐ ๐ ๐ ๐ Nenda kamtibie baba yako kwanzaPPP na purchasing power ni vitu viwili tofauti. Nimekwambia urudi shule. Una mengi ya kujifunza.๐ฎ๐ฎ๐ฎ
I told you. Umejionea sasa ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃKumbe haya MaKenya ni viazi vitau kabisa, kunahilo lijinga limoja limekuja na ujinga wake eti linataka kuniambukiza kwamba nijue tofautisha kati ya cost of living na PPP, wakati PPP inatumika kufanya comparison ya cost of living..
purchasing Power parity (PPP) is a concept used in economics to compare the cost of living and economic indicators across different countries. It provides a framework for understanding the relative value of currencies and the purchasing power of individuals in different nations.
Sasa haya majamaa kumbe ni nyang'au kabisa..
Huwezi fanya comparison ya PPP kama hakuna cost of living, utofauti wa cost of living wa nchi moja na nyingine ndio unapelekea kupata PPP...
Ujuaji mwingi kumbe zero tu..
Uko sahihi kwa hizi akili zako.., sina ubishi na wewe kwa hizi post zako., uko sawa kabisaa..,Wewe si umesema hakuna watu ambao hawakosi chakula hapo Mama Ngina Republic?
Je ninaweza kupata maelezo ya kina kuhusu issue hii?
View attachment 3015448