Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni kima wewe 🀣🀣🀣zuzu mmoja wewe

Malls ziko na mzunguko wa pesa kuliko Tanzanite game stone.? 🀣🀣 kwanza kuna malls ngapi hapo kisumu.? Arusha is the gate way to Serengeti, Ngorongoro, Tarangire and Arusha national park, unajua ni pesa kiasi gani zina zunguka huko.? Arusha inaongoza kwa kulima chai, Arusha ni capital of EA, there ere so many hotels in Arusha than 10 counties combined in Kenya. Unajua ni pesa ngapi inazunguka huko.? 🀣🀣 wewe kima kwa wivu tu unataja eti showrooms mbili na malls tatu kuwa na money circulation kuliko chuga.? Let alone hiyo Mwanza mana ni balaa Mwanza ina contribute 10 trillion Tz money pato la taifa kila mwaka around 3.8 billion US dollar ..

Wewe ni zuzu. πŸ“Œ
 
Nimekuacha utapetape ndio kitu unaweza fanya. 🀣🀣🀣 kama nakuumiza chomoa.
 
Yaani tofauti ya naislum na kiambu kwenye national GDP contribution ni mbingu na ardhi kumbe Mombasa na kisumu ni takataka tu, ukiwaambia naislum ndio Kunyaland wanalia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Maybe naongea na mwenye hajui what money circulation is. Do you know what money is?
 
Makenya ni ******* sana, ukisikia yanaongelea kipimo chao cha maendeleo utacheka aisee, yote utaona yanataja malls na ghorofa, hajui malls are just shops na ghorofa ni kama nyumba tu, hazina mchango wowote wa maana kwenye maendeleo ya taifa.
 
NairobiWalker leo kibanda gang amekula Smocha and everybody is about to knowπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Huyu jamaa ni kama anateseka kweli kweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, smocha nilikuwa nakula campus everytime.
 
Makenya ni ******* sana, ukisikia yanaongelea kipimo chao cha maendeleo utacheka aisee, yote utaona yanataja malls na ghorofa, hajui malls are just shops na ghorofa ni kama nyumba tu, hazina mchango wowote wa maana kwenye maendeleo ya taifa.
Yanajua sana ila kujitoa akili tu, ili walau yapate kuonekana na yenyewe yamejitutumua. 🀣🀣🀣 ni ******* indeed.
 
Endelea tu kutapata ndio kitu unaweza. Mimi nilishapiga bao moja tu na huchomoi. Cha ngurue kinaitwa. 🀣🀣🀣 ukimaliza kurukaruka let me know.
Unasema mko na money circulation yet hakuna banks in Mwanza and Arusha. Hizo pesa zinakuwa deposited wapi? Ama chini ya mattress πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yaani tofauti ya naislum na kiambu kwenye national GDP contribution ni mbingu na ardhi kumbe Mombasa na kisumu ni takataka tu, ukiwaambia naislum ndio Kunyaland wanalia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na hio Mombasa na Dar slum tofauti ya GDP ni pua na mdomo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…