Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,175
- 107,750
facility zilizopo Kigoma hata Kisumu haioni ndani!We kweli kima, umechagua sehemu ambazo zinakupa faraja ili upingane na huyo mzungu au sio, haya tufanye moyale iko mbele ya Kigoma, happy now 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Hii hapa nimeipata. 🤣 🤣Ebu post tena hiyo video, ni kama ilinipita😂😂
Mji umeshindwa na moyale, kacenter ka jangwani, hata hatufai kuuongelea. Nitakuwa nakosea wenyeji wa Kisumu heshima kushiriki kwa huu mjadala wako. Niletee Kigoma vs Moyale tutajadiliana. Kisumu kimaendeleo imeshindwa na Dar es Salaam pekee hapo Bongo. Peleka upumbavu wako kule.
Kwa barabara hata mimi nakuunga mkono mzee.. hakuna barabara za maana Mwanza, ila ukitaja maendeleo kiujumla, kuanzia majengo, trail way infrastructure, SGR+MGR, shughli za uzalishaji, bridges, airport, hotels, water and electricity supply. Mwanza is at least 30 years above kipoison, Kisumu haiwezi shindana hata Arusha. 🤣🤣🤣 wewe piga kelele wee ila ukweli ndio huo.Hii hapa nimeipata. 🤣 🤣
View attachment 3015163
View: https://www.youtube.com/watch?v=SFRgKNgx8OQ&t=932s
Wakenya wamechanganyikiwaFirst of all you need to get your facts right when making a point.
1. Moyale is 777km from Nairobi, not 200.
2. Is development measured by distance from Dar and Nairobi? Kwa hivo Mombasa yafaa iwe less developed than Bagamoyo kisa Bagamoyo iko karibu na Dar na Mombasa iko mbali na Nairobi?
3. Nairobi ipo katikati mwa nchi, Dar iko pembeni mwa nchi kwa hivo Dar iko mbali na sehemu nyingi za Tz than Nairobi ilivyo na sehemu za Kenya.
Alafu mbona mimi sioni hiyo development unayoongelea? Tazama hizi picha unieleze ni wapi kumeendelea. Kumbuka Moyale ipo Jangwani mahali ambapo hapazalishwi chochote meanwhile Kigoma imezungukwa na mashamba zenye rotuba na vivutio vya utalii pia ipo kando ya ziwa lililobeba 60% of all the freshwater in Africa.
Kigoma
Moyale
View attachment 3015146View attachment 3015147View attachment 3015148
Kwa Sasa kazi ya ujenzi wa Barabara zaidi ya km 25 za TARURA/TACTIC inaendelea.Kwa barabara hata mimi nakuunga mkono mzee.. hakuna barabara za maana Mwanza, ila ukitaja maendeleo kiujumla, kuanzia majengo, trail way infrastructure, SGR+MGR, shughli za uzalishaji, bridges, airport, hotels, water and electricity supply. Mwanza is at least 30 years above kipoison, Kisumu haiwezi shindana hata Arusha. 🤣🤣🤣 wewe piga kelele wee ila ukweli ndio huo.
Upuuzi 🚮🚮Kenya is better in
1. Internet
2. Tourism infrastructure
3. Nightlife
Tanzania better in
1. Safety
2. Cost of living
View: https://www.youtube.com/watch?v=3m4ZQpQuqT4
Moyale alikua analala kwenye mabati, hivi kuna siri gani kati ya Kunyaland na mabati?Ikiwa 1600km from Dar haiko Tanzania ama?😂
Kweli kabisa watanzania hawana ulimbukeni wa kujisifia kwa vitu wenyewe tunaona ni vya kawaida sana na vidogo na hicho ndio kinachowashangaza wengi, wanashangaa Mbona watanzania wana maisha mazuri lakini huoni wakiwa na bragging za kishambaNa watanzania hawajisifu na wanaona ni mambo ya kawaida sana. Hawa wakenya ulimbukeni unawasumbua.
First of all you need to get your facts right when making a point.
1. Moyale is 777km from Nairobi, not 200.
2. Is development measured by distance from Dar and Nairobi? Kwa hivo Mombasa yafaa iwe less developed than Bagamoyo kisa Bagamoyo iko karibu na Dar na Mombasa iko mbali na Nairobi?
3. Nairobi ipo katikati mwa nchi, Dar iko pembeni mwa nchi kwa hivo Dar iko mbali na sehemu nyingi za Tz than Nairobi ilivyo na sehemu za Kenya.
Alafu mbona mimi sioni hiyo development unayoongelea? Tazama hizi picha unieleze ni wapi kumeendelea. Kumbuka Moyale ipo Jangwani mahali ambapo hapazalishwi chochote meanwhile Kigoma imezungukwa na mashamba zenye rotuba na vivutio vya utalii pia ipo kando ya ziwa lililobeba 60% of all the freshwater in Africa.
Kigoma
Moyale
View attachment 3015146View attachment 3015147View attachment 3015148
Nionyeshe kwa hiyo video sehemu ya Moyale inayokaa hivi. 🤣 🤣 🤣Moyale alikua analala kwenye mabati, hivi kuna siri gani kati ya Kunyaland na mabati? View attachment 3015175
Point nilizoraise kwa hii post zimeuma Wabongo sana. 🤣 🤣First of all you need to get your facts right when making a point.
1. Moyale is 777km from Nairobi, not 200.
2. Is development measured by distance from Dar and Nairobi? Kwa hivo Mombasa yafaa iwe less developed than Bagamoyo kisa Bagamoyo iko karibu na Dar na Mombasa iko mbali na Nairobi?
3. Nairobi ipo katikati mwa nchi, Dar iko pembeni mwa nchi kwa hivo Dar iko mbali na sehemu nyingi za Tz than Nairobi ilivyo na sehemu za Kenya.
Alafu mbona mimi sioni hiyo development unayoongelea? Tazama hizi picha unieleze ni wapi kumeendelea. Kumbuka Moyale ipo Jangwani mahali ambapo hapazalishwi chochote meanwhile Kigoma imezungukwa na mashamba zenye rotuba na vivutio vya utalii pia ipo kando ya ziwa lililobeba 60% of all the freshwater in Africa.
Kigoma
Moyale
View attachment 3015146View attachment 3015147View attachment 3015148
Mmeleta video ya Mzungu wenyewe alafu nimewaumbua mmeanza kutafuta vijipicha vengine online vilivyopigwa na Mbongo anayejaribu kuinua image ya Bongo mtandaoni. Nitolee picha kwa video ya Mzungu ambayo inaonyesha Kigoma ikiwa bora kuliko Moyale.Leta Moyale ikiwa hivi 😁😁😁
View: https://www.instagram.com/reel/C7qcVbaNr5T/?igsh=MXdwMnhwdTdobmRxaA==
Mzungu amelala kwa guest kwenye village moja huko Marsabit Jangwani alafu wanalinganisha hiyo Guesthouse na ya Kigoma - a whole provincial headquarter. 🤣 🤣 🤣Checki msosi wa moyale, 1200km from mombasa. Watanzania wana maisha magumu 😅😅😅😅View attachment 3015178View attachment 3015179View attachment 3015180View attachment 3015181
Airport yenyewe huko Moyale ipo kama njia ya panya 😁😁Mkuu kunyan ni watu wa kufake life,kuna zoba humu kajifanya kushangaa chakula alichokula yves kule kigoma wakati yy uhakika wa milo mi2 kwa siku hana,nawashangaa humu mnabishana nao kuhusu magari while hao maskini hata baiskeli ya mbao hawana,hawa ni wa kupiga spana nyumba zao za udongo na mabati tu tuone kama watathubutu kuquote
Tukitaka mpunga safi tunakula wa mwea first grade sio huu wa plastic, maisha magumu haya🤣🤣🤣Huo mchele kitumbo toka Korea umeshafika? 😬