Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

As.niwapenda...amani....lkn..tz...n ushawi umejaa uko....na.uganga...
Hakuna nchi isiokua na uchawi umesahau wale wakenya walioiba gari mombasa wakajikuta uchi na nyoka shingoni πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mji unaojulikana kwa ushoga ukanda wa afrika mashariki na kati ni mombasa kwa sababu vijana wameendekeza miraa na ungaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Yani.......70% yote..watz wanaishi.below.poverty.. Na.ukitembea..vijijini.ni. 80% Alafu. Wacompete.na.as iyo.c.n.umama
 
Laleni nyie wakenya, Uhuru kashata asije kuwarushia tear gas grenades akidhani ni wafuasi Wa Raila Udongo
 
Sio zile za kwenu nyumba wall ni batiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Utasema mabanda ya nguruwe ila wallah nyie munamaisha ya ajabu sijawah kuyaona toka nimefungua macho
Wakisema Tanzania ni LDC ama maskini wa kutupwa wewe kataa na useme WB, IMF na UN wanawaonea watanzania kijicho kwa kuwalinganisha na Somalia.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji117] [emoji106] [emoji107] [emoji106] [emoji107] [emoji106]
 
Yani.......70% yote..watz wanaishi.below.poverty.. Na.ukitembea..vijijini.ni. 80% Alafu. Wacompete.na.as iyo.c.n.umama
Lete evidence, huku Tanzania hatupiki data kama ninyi huko, sgr yenu imegharimu $1.4B, Uhuru na kundi lake wakawapikia data eti imegharimu $3 B, vyuma chakavu vile inawezekanaje kama sio ushamba wenu?
 
Laleni nyie wakenya, Uhuru kashata asije kuwarushia tear gas grenades akidhani ni wafuasi Wa Raila Udongo
Ukiona wamekushinda kwa hoja ndugu, singizia Wakenya kwa umasikini uliopo Tanzania...Mwanaume kamili kama wewe hafai kukubali ameshindwa.
 
Ukiona wamekushinda kwa hoja ndugu, singizia Wakenya kwa umasikini uliopo Tanzania...Mwanaume kamili kama wewe hafai kukubali ameshindwa.
Bro ujue mpaka unatia huruma πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Pole sana pumzika basi kwa leo
 
Yani...80%....sasa bongolalas..village.kama....Dodoma.mnaishi....aje....no.wonder machora...wamejaaa msa
 
Ukiona wamekushinda kwa hoja ndugu, singizia Wakenya kwa umasikini uliopo Tanzania...Mwanaume kamili kama wewe hafai kukubali ameshindwa.
Mi sibishani na Empty minds.. Mmeishiwa hoja mmebaki kutapika uharo[emoji23][emoji23]

Mnachafua hewa tu, yani izo porojo zenu mnazoongea mnafanya mpaka miti ishindwe kupumua...

Mlale tu sasa maana data mnazopika ni too much afu bado mbichi haziivi[emoji23][emoji23]
 
Ukiona wamekushinda kwa hoja ndugu, singizia Wakenya kwa umasikini uliopo Tanzania...Mwanaume kamili kama wewe hafai kukubali ameshindwa.
Woiiii...yani....80%,...in villages...........Maskini.Mara.4 .yah kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…