Which Sport is Tanzania good at?πππHaya posta ya Half pekee yake. Tupe ya Full π€£ π€£ π€£ Tafuta kazi nyigine kijana. Tulishatoka huko.
Umeishiwa points kijana π€£ π€£ π€£
Which Sport is Tanzania good at?Umeishiwa points kijana π€£ π€£ π€£
FullπππππHaya posta ya Half pekee yake. Tupe ya Full π€£ π€£ π€£ Tafuta kazi nyigine kijana. Tulishatoka huko.
Hayo mashindano yenu virtual hayana nafasi TZ π€£ π€£ π€£ π€£ Endeleeni kushindana kwenye Virtual Game
It is not a 2024 E-Class. It's not facelifted either. Look at it closely. That's a 2016 model.Bongoslum wamezoea kununua fossils alafu wanafanya facelift kupima mafala.
Which Sport is Tanzania good at?ππππHayo mashindano yenu virtual hayana nafasi TZ π€£ π€£ π€£ π€£ Endeleeni kushindana kwenye Virtual Game
Sikuwa nimenotice hiiπππ€£π€£π€£.It is not a 2024 E-Class. It's not facelifted either. Look at it closely. That's a 2016 model.
2016
View attachment 3012879
2024
View attachment 3012880
Hili la Juma Jux ni 2024. Look at the headlights and bumper air vents.
Mafala Hawa watu.πππ
View: https://www.instagram.com/reel/C7MkJp0Nqbp/?igsh=aWllZmhidmdjeXo3
Imagine hiyo gari ya 2016 ndio gari mpya zaidi Tanzania. Zingine ni between 1990-2000.It is not a 2024 E-Class. It's not facelifted either. Look at it closely. That's a 2016 model.
2016
View attachment 3012879
2024
View attachment 3012880
Hili la Juma Jux ni 2024. Look at the headlights and bumper air vents.
Mafala Hawa watu.πππ
View: https://www.instagram.com/reel/C7MkJp0Nqbp/?igsh=aWllZmhidmdjeXo3
Huoni amepost S class na badge ya Maybach immediately after nairobae kumwambia Wabongo wanaweka badge ya Maybach kwa S class? Huyu Myemeni hajui magari.ππHakuna unachojua kwa magari. Unaezamiliki gari lakini hujui anything hukoπππ.
Magari yenyewe ni fossilsππ
π€£π€£π€£π€£π€£ππππNaona bado munateseka na hii kituImagine hiyo gari ya 2016 ndio gari mpya zaidi Tanzania. Zingine ni between 1990-2000.
Muoneshe na hii Huyo zwazwa π€£π€£π€£π€£
Naona SASA hvi amekua MTU wa magari
View attachment 3012889