Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata mimi nimeshangaa anamaanisha nini? Si ajabu alipost baada ya kunywa pombe na makalio ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Midomo Yao na Ulimi zimechanika kwa ajili ya Jaba SASA wanaona Bora wapitishe pombe matakoni maana wakisema wapitishe mdomoni wakat kumechanika, basi pombe hugeuka kua spirit anaeza washwa mpaka haja zote mbili zikatoka kwa wakat mmoja๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Na ndio dream ya kila mkenya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Huwez kua na pesa Kenya kama haupo kwenye politics au uwe umezaliwa kwenye familia ya siasa, au ukoo wa siasa nje ya hapo utasugua gaga mpaka cheche
 
Yani Kenya ana loan kubwa kuliko hata south Africa and Nigeria wenye uchumi mkubwa Sana Africa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Deni wanalodaiwa aliakisi kabisa na walichonacho,TZ JNHP,BRT dar yote,SGR ni miradi mikubwa mno na bado atujakopa kama walivyokopa wao,watakuja kusifia vile vighorofa vyao but na vyenyewe ni vya sekta binafsi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ