Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa nini Huwa hamuwapi input mapema? 😁😁

But Hilo jengo sounds like ni Makao Makuu ya Tanapa Kanda ya Nyanda za Kuu Kusini (Southern Tourism circuit)
Angalia kitu cha CBE Dodoma hicho kimejengwa 1965 na architect mjerumani, ukikiona tu unaona mbunifu kweli alituliza kichwa akaja na thoughtful piece of work, angalia hata logo yake, then uje kwa matakataka TBA wanayobuni na TAMISEMI 🚮🚮

 
Architect walikuwa Wazungu,Wabongo hamna kitu ndio maana hata Ikulu wame copy na ku paste.

Majengo ya Wizara Dodoma yanafanana,ujinga
 
Am gonna frame this photo … it deserves a place for future generations…🤣🤣🤣🤣
View attachment 3009370
Akili yako ni ndogo au??? Ndo ujinga?? Hapo rais yupo na maCEO wa board ya filamu ya korea.
Unalinganisha na hiyo ya ruto yupo na rais wakorea???
Kwahio hii pia hutaki🤣🤣🙌👇View attachment 3010511
Tukiwaambia hamna akili mnalia!
Sasa kwann tusiuze hayo madini tupate pesa?!! Tuwape? Hizo akili zenu zipo sawa kwel?? Yaan tutoe hela tupewe hela😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…