El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
nairobi has close to 500 estates na hapa tume post kama ten only na kuwapiga bao mingi Vila comeback.....mnatapatapa tu ujingani mkipiga towers zile kando ya beach na makeup na different angles kila siku........Yani kuwaambia ukweli kabisa wakenya kinacho wasaidia mnapicha nyingi lakini nairobi hamna kitu cha ajabu. Laiti tungekuwa tunapiga picha nyingi kama nyie mngeshakimbia hapa. Sema tuna vitu vingi vya msingi vya kufanya.
Zipo hapa JF Fanya bidii wacha uswahili.
Kwa wapi 55 to 51.3 hesabu haidanganyinchi LDC wanajarbu kupingana na Kenya..ππ.joke of the century...tunaeza kuwagawia GDP ya bilion 10 na bado tuwe tunaongoza tu
Leo hasira imekushika vzrπππmsumari wa moto leoExactly like...bamburi Mombasa.......sorry....bamburi.is better
πππ70 ndugu fanya hesabu tena data nimekupaKwa wapi 55 to 51.3 hesabu haidanganyi
View attachment 645034
Unadhani dar kunaweza kuwa na ujinga kama huu katikati ya mji. Only in Nairobi.
View attachment 645020
View attachment 645019
Duuhhh, Noma sana Middle ***** Oh no Middle income
hawa majirani hata nairaland hatuwezi wapeleka.......wako hoi bin hoi.......hapa ni freedom tumewapatia tuCan we experiment a little? Was suggesting we compare highways and roads in Kenya with those in South Africa then Compare Tanzanian ones to those in South Africa again. Who is willing to participate in this dick measuring contest? Kenyans brace for a big win...twende kazi Wakuu but I won't post pictures najua kuna experts Wakenya.
lol......inakaa Kenyatta University admin block
2017 october ππππ ama kweli leo povu umetoa haluma kupika data hapa
Dar city center
90% nyumba za kukodisha za 1 bedroom, mama mboga na duka za kuuza samaki
10% office buildings & hotels
Nairobi city center
90% offices and hotels
10% expensive apartments
kisha wanaimba imba hapa ati densityπππππ tofayuti ya Kariakoo na soko la githurai hakuna...
middle incomeππππDuuhhh, Noma sana Middle ***** Oh no Middle income, Na hilo Ndio Bus?????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1)Unemployment 48%
Kariakoo kuna office buildings? πππAcha ku-pull vitu out of your ass. Kuwa na uhakika na unachoongea.
mbona unajichanganya bro?...tunazungumzia GDP ama debt?πππ2017 october ππππ ama kweli leo povu umetoa haluma kupika data hapa
View attachment 645039
Debt to gdp ratio 60% salama haipoπππ
View attachment 645041