Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

From, hela za ndani to we were given bigger loan than you 🀣🀣 maajabu!
Hii inatakiwa ikustue wewe kilaza. Kwamba tunaweza fanya miradi mikubwa kqa pesa zetu and vilevile tunaweza kukopa Pesa ndefu kuliko nyinyi kwasababu tunaweza kulipa. 🀣🀣🀣🀣🀣 nyinyi hamkopeshwi pesa ndefu na wala hamuwezi fanya miradi mikubwa kwa pesa zenu.
 
Mkopo mkubwa ndo $500m πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Hio picha ya kwanza ni kabla hajapanda ndege kwenda Korea. Roho inakuuma kishenzi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wewe kima kumbe hii $1 billion wakuu walienda kupitia framework arrangements 🀣🀣🀣 hakuna pesa yenye mtapewa nyie kima Reborn Ktb πŸ‘‡
 
Nimeikumbuka hii hapa πŸ˜πŸ˜πŸ”¨πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/ConradKulo/status/1797920082385113173?t=lWUi_8mZQ25a9EcUv0Q2bg&s=19
 
Hiyo picha ya pili says it all. 🀣🀣🀣🀣no respect you've been given. Poor kunderenda representative. 🀣🀣🀣
Kwa hivyo hio ya kwanza uloleta wewe huitakiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…