Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hamji kua na density ya dar miaka 100 mbele,kukaa kupiga kelele za upperhill na westland vimiji vilivyojaa vichaka tu...
deepdown our density is untouchables
tofauti ya Dar ni kuwa mnaishi pal kwa city centre nguruwe, pamoja na watu, mama mboga, wauza samaki na kadhalika...Nairobi city centre haina mijengo za watu kuishi...kwa hivyo nikileta buruburu hapo karibu na KICC inakuwa kubwa kuliko Dar...
 
watu wa ofisi wanafanya kazi pamoja na wauza samaki pale city centre...Dar ni mji uliochanganyikiwa sana
 
tofauti ya Dar ni kuwa mnaishi pal kwa city centre nguruwe, pamoja na watu, mama mboga, wauza samaki na kadhalika...Nairobi city centre haina mijengo za watu kuishi...kwa hivyo nikileta buruburu hapo karibu na KICC inakuwa kubwa kuliko Dar...
Buruburu ndio ujinga gani...
Dar Ni kubwa Miaka yote na Mtaelewa taratibu. ..dose inaingia mdogomdogo
 
Dar ukishatoka kazini pale tpa unatembea tu mpaka kwako hapo Kariakoo...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€alafu wanaita density...kumbe wamechukua estate kama buruburu, githurai wakaweka karibu na city centre...kisha walia lia eti density...
 
Povu haikuachi salama alwaysπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Buruburu ndio ujinga gani...
Dar Ni kubwa Miaka yote na Mtaelewa taratibu. ..dose inaingia mdogomdogo
asante kwa hasira nugu....πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ukweli ni kuwa hio density hapo Dar ni kwasababu ya estates...yaani estates ziko tu karibu na city centre...PwahahahahaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nikileta buruburu hapo KICC haina tofauti na hio Dar mnalia lia density densityπŸ˜€πŸ˜€
 
lol.....Nairobi is a metropolis covering 10000km sq.....dar mpelekane na Mombasa pliz
 
Hongkong density opps sorry bro dar es salaam
 
watakuimbia eti density density kumbe 90% ya mijengo hapo city centre ni nymba za kukodisha watu...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€asilimia kumi iliobaki ni ofisi na hoteliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ unatoka kwako Kariakoo baada ya dakika kumi uko TPAπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…