Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shida yako ni Rusungu mwingi. Hivi hizo paragraph zote kwa kiingereza unatumai Bongolala aelewe? 🤣 🤣
Aaah wapi, wewe nimeona umengáng'ana kumtolea points kwa Kiswahili hata hajasoma kitu.........analia hujamuelewa ameshikilia eti umekosea ukisema ''streets zenu'' yet hatoi proof yoyote kuwa sio zote kama anavyojaribu kutuaminisha. 🤣 🤣

 
Ndio nimeona profile pic yake ni baphomet. Kumbe ni kawannabe illuminati. 🤣🤣
 
Shida yako ni Rusungu mwingi. Hivi hizo paragraph zote kwa kiingereza unatumai Bongolala aelewe? 🤣 🤣
And here comes english aisee!
Sijui ni ushamba au ni nini?!
Wazambia
Wamalawi
Waganda
Wanigeria wote hawa wanaongea kiingereza better than you,lakini huwezi wakuta-wanabrag.
MUngu kwel fundi mngekuwa wazuri nyie plus english aisee tungeteseka ila kwasababu hamna tofauti na NYANI!the equation is well balanced😂😂
 
Chief justice wa kenya na wewe mchambia majani ya mikorosho uko kilifi yupi ana elimu bora?
 
Shida yako ni Rusungu mwingi. Hivi hizo paragraph zote kwa kiingereza unatumai Bongolala aelewe? 🤣 🤣
Elimu yenu imejificha kwenye kichaka kiingereza,halafu 80% ya kunyan iko kiingereza awakijui,malawi na zambia wanaongea english nzuri kuliko nyie,then ukija kwa mbongo accent yetu ya english kunyan tumewaacha mbali mno
 

Attachments

  • 2afd71e85a5207e30aaa944f1eb2cfe9.mp4
    1.4 MB
Kwahiyo we malaya janerose mzalendo ukiongea hivi ndiyo inaondoa ukweli kwamba Dar iko mbele ya Nairobi as far as real estate industry is concerned?

Je, ukisema hivi itaondoa ukweli kwamba Dar ina miradi yenye thamani kubwa kuliko miradi yote inayofanyika East and central Africa combined?

Ukiongea hivi itaondoa ukweli kwamba Dar iko na proper drainage system inayofanya Dar isiwe na mafuriko kama Nairobi?

Je, unadhani dunia haijui kwamba Dar iko na first world infrastructure like electrified SGR, cable stayed bridges, EMU, proper public transport like brt, three level interchange, state of art bus terminals, kitu ambacho ni ndoto ya Nairobi na haitawahi kuwa navyo? Hakuna battle hapa ni tunawafariji tu mana tukisema mlete multimillion infrastructures za Nairobi unaleta GTC ya mchina, xpress way ya mchina, na vile vi apartment nzee vilivyojengwa na foreigners miaka ya 70 alafu unamalizia na talanta ya mchina, tumewaacha mbali sana mana Tanzania maendeleo kote kote 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Come again please what have you just said!!
So u wanna tell me this bastard is a woman also😂😂😂😂playing hide and seek with multiple IDs
 
Bandari inadidimia? 😂😂😂😂

Kwa hiyo Nchi zote zilizoendelea waliowapa private operators wamedidimia? Wacha upumbavu wewe ubinafsishaji inalenga kuongeza ufanisi na kukomesha Bandari kuwa mashamba ya bibi Kwa wenye vyeo
Acha kulinganisha kifo na usingizi, unazani nchi zilizoendelea wanawapa private za nchi nyingine vyanzo muhimu vya kustabilize uchumi wa nchi?

Nitajie nchi hata moja iliyotoa chanzo chao kikuu cha uchumi kwa private sector ya nchi nyingine?
 
Shida ya inferiority complex mtu akikueleza kitu unaona anabragg. Mnaijeria akiniongelesha Kiingereza na kila mara akiongea sielewi ataniambia shida yangu ni Kiingereza, Mganda akiniongelesha Kiingereza na kila mara akiongea sielewi ataniambia shida yangu ni Kiingereza. Mmalawi na Mzambia vile vile. Sasa sisi Wakenya tumebebeshwa huu mzigo wa kuwa the only country ambayo tunaongea nanyi sana na kila mara tunakumbwa na hili tatizo lenu la kutoelewa Kiingereza kwa hivo tukiwaambia mtachukulia tunabrag. Hutowai sikia Mganda akisema tunabrag juu ya Kiingereza maanake yeye tukiongea Kiingereza tunaelewana vizuri. Shida ni hapo kwenu. 🤣 🤣
 
Points za maana?? Dada points zipi hizo?

Dogo your point?
Sisi kuchukua hicho kimkopo haitafuta ukwel kwamba kenya is the most indebted east african country.
Ukijibiwa na points haurespond, unataka kurespond ujinga ukibadilisha magoli. Sasa sahii uko kwenye mikopo. Mjadala mdogo wa street parking and parking umekushinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…