Wanashida Hadi hawaheshimu usalama waoEti walienda shule wakasoma ππππ
View: https://x.com/C_NyaKundiH/status/1793698325843349883?t=QNXjDhc3alaqsWChqDIXBg&s=19
Sijui ni lini watajifunza kunyamaza juu ya miradi yao wasubiri hadi itiki sio fantasy kwanza.Hebu tuoneshe ya Nigeria π²π²π²
KAZI yenu kutaja nchi za watu mbona yenu hamuitaji wajinga nyinyi
Hii ndio kitu muliahidiwa au??π π π
View attachment 2998750View attachment 2998751
Madeals gani?Kenya ni nchi ya madeals, nyinyi na ujamaa yenu hamwezi elewa na ndio maana With all your resources, Bado Kenya ni Bwana wenu
Watafungua butcher ya nyama soon!Eti walienda shule wakasoma ππππ
View: https://x.com/C_NyaKundiH/status/1793698325843349883?t=QNXjDhc3alaqsWChqDIXBg&s=19
Huu uwanja ukikamilika hapatakalika humu ndani..
ThIs is a Century dose kwakweli maana hakuna project yoyote ya maana kenya apart from Talanta since the break up of EAC π€£π€£π€£π€£
π€£π€£π€£ there are so many projects U/C in Tz .. sasa sijui nani atapata mateso non stop. Ni kuwapea maumivu tu until you die.Huu uwanja ukikamilika hapatakalika humu ndani..
Wamepewa chopper mbofumbofu US na kupelekwa Haiti wakadhani wanaweza ingia Bongo kama chooni!Thank you πΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏ
View: https://x.com/TheStarKenya/status/1794237702490947939?t=J21vcQ45zq26qkwG3Innag&s=19