Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Military doesn’t put their budget on public. Ama kuna place umeona budget ya Kasarani and Nyayo Stadium renovation?
KAZI ya military ni supervise lakini sio owner wa mradi hio weka akilini, talanta inajengwa na mchina mwenyewe kwa ule mlango wanyuma ambayo hua munadanganya na politicians kua ni PPP👇👇👇👇👇

 
Walikuwa wameongeza mshahara kwa 100% mm nikawa nauliza wanawezaje kuongeza mshahara wakati kampuni inakula hasara namna hii? Yani bro mm kama nataka kusafiri kwenda nje wallahi sipandi KQ hata iweje, hiyo ndege ni headache, ina ma cancellation na ma delays kama yote. Hakuna siku Kenya airways ikakosa miyeyusho.
 
Failed airline in Africa 😅😅😅😅😅
 
How about giving back the whole coast of Kenya to it's rightful owners 🤣🤣
 
Kama unapata nafuu ya maumivu ukisema hivi endelea kujifariji.
Najua hampendangi ukweli.

When it comes to Human development Kenya is on the medium development rank while Tanzania still struggles at lower Development rank. That’s why Tanzania is still a Least Developed Country.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…