Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I feel you budaa. Barua yako imejaa majonzi na matumaini, usikate tamaa. 😎
 
Loss making company buying planes with cash from citizen taxes.
And loss making company ina own only 2 old aircrafts over 40yrs 🤣🤣🤣🤣🤣

Na ina loss ya over 13good years loss ambayo ukikusanya yote unaeza nunua 40 737 Max brand new na chenchi inabaki
 
But serving the whole EA region hence reporting all East African news. Otherwise hutopata wakenya kwa social media na Kenya specific media wakifuatilia Safari za Samia.
HQ ya East Afrika ni Arusha Tanzania. Unajua kwanini domain yake ni .Ke and East Africa community ni .int?

There is no supporting link in the website of EAC 🤣 🤣 🤣 🤣

 
And the reason we over took them in 70's was because of the war they had with Uganda. Hio mambo wanasema eti Kenya zamani ndo ilikua juu kwa sababu ya beberu ni upuuzi wa kiwango cha juu.
Exactly. Halafu wakatuovertake in the 1980s because of the 1982 Coup. Alafu 2005 tukawapita juu ya sera mpya za Mwai Kibaki.
 
Tunaongelea EAA wewe unaongelea EAC. Headquarter za EAA zilikuwa JKIA. Halafu kuwa na HQ haimaanishi nyinyi ndio mna shares kubwa. Huu ujinga wako ndio maana siwezi waste time nikikueleza vitu vingi. That's why nilikuambia you're a jack of all trades and a master of none. Hakuna kitu wee hujua.
 
And the reason we over took them in 70's was because of the war they had with Uganda. Hio mambo wanasema eti Kenya zamani ndo ilikua juu kwa sababu ya beberu ni upuuzi wa kiwango cha juu.
Usizungumzie enzi hizo kabla hujazaliwa. Acha sisi tuliokuwepo tunajua hali ilikuwaje😎😎
 
Mnaongelea na nani? 🤣 🤣 🤣 Naona tayari umeshapanic. Ulikuja unapiga kelele kuhus East Africa Gazette. Sasa hivi unapiga kona angani? Tafuta mwanaume, utakuwa kichaa
 
failed coup ilifanya uchumi udorore? mkiingia vita kama ya Idd Amini si nchi itaanguka?
Uchumi ulianguka kisa the president grew paranoid, initially alikuwa mtu wa maendeleo but after coup alifocuss sana kulinda kiti chake cha urais akasahau maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…