Picture gani? There’s o picture of the helicopter after the accident.Sasa wewe umetaka commentary zetu tumekupa bado unabisha uko sawa kichwani wewe. Kwenye hiyo picha does it look like it crashed kitaalamu tunaita hard landing.
Mjadala wa stadiums tumefunga rasmi mpaka hapo watakapotuletea CAF na FIFA approved stadiums ndio tutaendelea tena sawasawa?Ukipata FIFA verified stadium hapo Kenya please tag me. Nasubiri 🤣 🤣 🤣 🤣
So 2023 CAF walikuja Kenya kukagua Nyayo? Mbona unaumia na maendeleo ya Nyayo?🤣🤣Nyokooo eti we planned before walikuja wakaguzi kutoka CAF, mukapewa maagizo tena kufanyie KAZI ndio maana munafanya tena na watakuja tena kufanya inspection
SASA kuleni pesa kama mara ya Kwanza alaf uone kama itafanyika hapo🤣🤣🤣🤣
Mulifanya many years ago na Hali hamuna hata CAF approved stadium 2024 mpaka munaomba Malawi kwenda kutumia uwanja wao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mjadala wa stadiums tumefunga rasmi mpaka hapo watakapotuletea CAF na FIFA approved stadiums ndio tutaendelea tena sawasawa?
December 2023 ni many years ago?🤣🤣🤣Mulifanya many years ago na Hali hamuna hata CAF approved stadium 2024 mpaka munaomba Malawi kwenda kutumia uwanja wao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aibu gani hii inawatandika 2024 serious
I watched these games. Some were played at Nyayo and others in Kisumu if am not wrong.
Nyayo ilifanywa renovation just 2 yrs agoSo 2023 CAF walikuja Kenya kukagua Nyayo? Mbona unaumia na maendeleo ya Nyayo?🤣🤣
This is 2023.
View attachment 2995054
Leta ushahidi wapi ilifanyika ilifanyika uwanja gani Nasubiri kuona hayo ni maneno Tu wapi ilifanyika 😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu anachanganya mashindano kabisa mm nimuoneshe hii analeta utumbo 😂😂
Ilifanyika KU and Kasarani Stadium.Leta ushahidi wapi ilifanyika ilifanyika uwanja gani Nasubiri kuona hayo ni maneno Tu wapi ilifanyika 😂😂😂😂😂😂😂😂
Huko tulishatoka mzee. Vihiga Ilishajifia kwa sasa. 🤣 🤣 🤣 🤣 Wachezaji wote wa Vihiga kwa sasa wapo Simba
Leta ushahidi wa mechi zikifanyika KU na kasarani 😂😂😂😂😂😂Ilifanyika KU and Kasarani Stadium.