Kaitaba bila ya chenga π€£π€£π€£ππππTuonyeshe hiyo gate mwaka wa 2024 tukuheshimu. π€£ π€£
Mzee nimekuuliza tangu juzi unioneshe CAF approved stadium in Kenya bado unatafuta. Do you admit that hakuna International Standard Stadium hapo Kenya? π€£ π€£ π€£Tuonyeshe hiyo gate mwaka wa 2024 tukuheshimu. π€£ π€£
Farmlandπ€£π€£π€£Kaitaba bila ya chenga π€£π€£π€£ππππ
View: https://www.instagram.com/reel/Cmbu2q5oNRF/?igsh=MXViYm8weW93Mmx0OQ==
Kama haiko approved kwann wanaleta mashindano ya kimataifa Aman π€£π€£ππEbu tuonyeshe approval ya CAF tusomeπππ€£π€£.
Azam is not CAF approved.
Aman is not CAF approved.
Thank u Azam TV ππππΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏFarmlandπ€£π€£π€£
Yeah, nazikumbuka.π€£π€£π€£.Ni kama zile base za movie za ushagoo.ππ
Hawana hata yakusingiziwa Achilia mbali kua nayo kabisa ππππ eti wanaenda Malawi, kwala dunia haina hakiMzee nimekuuliza tangu juzi unioneshe CAF approved stadium in Kenya bado unatafuta. Do you admit that hakuna International Standard Stadium hapo Kenya? π€£ π€£ π€£
Kenyatta University once hosted this thingπ€£π€£π€£Kama haiko approved kwann wanaleta mashindano ya kimataifa Aman π€£π€£ππ
View attachment 2995009
Mimi sitaki niwakimbize hapa. Ila ninawakumbusha tu π€£π€£π€£ππππTuonyeshe hiyo gate mwaka wa 2024 tukuheshimu. π€£ π€£
Utaambiwa picha ni ya 2012. π€£Manungu Farmland.
Hawa wamewekewa logs wakalie ππππ€£
View attachment 2994997
Commentator box pia naona imejiseti hapoπ€£π€£π€£
View attachment 2994998
Yeah, thanks Azam for showing Farmlandsπ€£π€£Thank u Azam TV ππππΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏ
Washukuru wachina sanaπ€£π€£Utaambiwa picha ni ya 2012. π€£
Kenyatta University once hosted this thingπ€£π€£π€£
Nasubiria ushahidi nilikuomba ukalala mbele SASA leta ushahidi ππππππππKenyatta University once hosted this thingπ€£π€£π€£
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Umia Tu mzee am so happy kiwanja kipo over 2000km from dar es salaamYeah, thanks Azam for showing Farmlandsπ€£π€£
Sisi tunakupea stadium zenu za ligi kuu ambazo mmezisifia humu kuwa stadium kubwa wewe unatuletea uwanja wa mtaa wa vijana wa mtaa kuchezea boli. Next utatupostia uwanja wa shule hapa Kenya badala ya kujibu swali. Nimekuuliza swali rahisi, tuonyeshe hiyo gate mwaka wa 2024.Mimi sitaki niwakimbize hapa. Ila ninawakumbusha tu π€£π€£π€£ππππ
View attachment 2995010
Issue ni kuwa approved na CAF na FIFA kwanini viwanja vyenu haviko approved unapaswa ujiulize hilo swali something is missing somewhere usibishe tuu kwa vigezo vyako mwenyeweYani sisi tuweke viti, tuweke taa, tutengeneze changing rooms na choo alafu wao wanyunyizie pitch maji na bado wanacheka wetu. Hehehe, hawa ndugu zetu jamani..π.π
Ligi yetu ambayo ina 3 stadiums CAF standard so far π€£π€£π€£ how do u feel, bikini haijavuka iko sawasawaSisi tunakupea stadium zenu za ligi kuu ambazo mmezisifia humu kuwa stadium kubwa wewe unatuletea uwanja wa mtaa wa vijana wa mtaa kuchezea boli. Next utatupostia uwanja wa shule hapa Kenya badala ya kujibu swali. Nimekuuliza swali rahisi, tuonyeshe hiyo gate mwaka wa 2024.
Walisema eti CAF watachukua rushwa π€£π€£π€£Issue ni kuwa approved na CAF na FIFA kwanini viwanja vyenu haviko approved unapaswa ujiulize hilo swali something is missing somewhere usibishe tuu kwa vigezo vyako mwenyewe
Mbona hukuandika kuhusu kupatikana maji na umemeKulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.