Ndio maana mzungu mpaka Leo hajawahi kuona slum dar na hatokuja kuona mukiambiwa kuzoom munakimbia πππ€£π€£
Wewe libaba lizee unaona stadium wapi hapo? Hizi ni dalili za uzee. Macho yashaanza kupatwa na shida ya kuona vizuriAnother juakali stadium?
Toa nakshi hapaNdio maana mzungu mpaka Leo hajawahi kuona slum dar na hatokuja kuona mukiambiwa kuzoom munakimbia πππ€£π€£
View attachment 2992847View attachment 2992848
Bado unaishi kwenye old era mentality kijana. Update your stupidity.
Hili tataizo limekuwa linaongezeka sana duniani hasa nchi za magharibi. Kuna sababu nyingi ikiwemo, vyakula visivyo vya asili (GMO), kutofanya mazoezi, upatikanaji rahisi wa porn, depression, stress na kikubwa zaidi ambacho hawataki kukisema hadharani ni chanjo za utotoni.Astaghfirullah!!View attachment 2992442
Vizuri hii bandari kukamilika ila wanatakiwa wawe na utaratibu wa kuzuia hiyo coal kumwagika kwenye maji. Coal huwa imechanganyika na heavy metals, samaki wakila halafu sisi kula hao samaki italeta matatizo mengi huko mbeleni (cancer, brain damage etc).
Haya kiko wapi SASA π€£π€£π€£ aibu inawatandika 2024, what a shame??π€£π€£π€£Hawawezi kuja kuomba kucheza Tanzania ego inawasumbua π€£π€£π€£π€£
Dennis Oliech Reveals Why Uganda or Tanzania Would Have Provided Home Comforts for Harambee Stars
Former Harambee Stars captain Dennis Oliech has explained why he believes it would have been wiser to play Harambee Stars' home matches in Uganda or Tanzania instead of Malawi. Kenya is set to host Burundi and Ivory Coast in the 2026 World Cup qualifiers but won't have home support due to a lack...zipo.co.ke
Bonge la modern market chini ni underground kwa ajili ya parkingπ₯π₯π₯ very very modern
Mnatamani tuchezee Tanzania sana. Kila siku mnalia.πππHawawezi kuja kuomba kucheza Tanzania ego inawasumbua π€£π€£π€£π€£
Dennis Oliech Reveals Why Uganda or Tanzania Would Have Provided Home Comforts for Harambee Stars
Former Harambee Stars captain Dennis Oliech has explained why he believes it would have been wiser to play Harambee Stars' home matches in Uganda or Tanzania instead of Malawi. Kenya is set to host Burundi and Ivory Coast in the 2026 World Cup qualifiers but won't have home support due to a lack...zipo.co.ke
Dennis Oliech ni Mtanzania? Jiulize kisha jipige kifue na useme kuwa wakenya ni wapumbavu.Mnatamani tuchezee Tanzania sana. Kila siku mnalia.πππ