Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani High School kuna questions za choices?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ No wonder most Tanzanians are stupid, hou canโ€™t think on your own๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Choices questions ni exams za Primary School huku Kenya.
 
Lakini kila picha iliyopo magari mengi yapo barabara za chini wakati juu ni kweupe. Nadhani watu wengi wanaogopa barabara ya juu kwa sababu ya ushuru mkubwa.
Angalia angalia Video nyingi za hivi karibuni, Angalia vitu wanavyomiliki wao wenyewe 100% na Vya wageni walivyoweka kwao. Utajionea tofauti. Hata First word infrastructure inarudi mahala pake Third world ๐Ÿ˜‚
 
Shit! KCSE mambo ya kitoto Kama ya underlining incorrect answers hakuna.Hayo maswali ungeuulizwa na utoe majibu manne correctly. Hayo ni mambo ya CBC๐Ÿ˜„
 
Shit! KCSE mambo ya kitoto Kama ya underlining incorrect answers hakuna.Hayo maswali ungeuulizwa na utoe majibu manne correctly. Hayo ni mambo ya CBC๐Ÿ˜„
Yani Highschooler anapewa multiple choice exam in this generagion? Kweli Tanzania is backward๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Form 4 Histroy Paper 2 section A.

Hakuna mambo ya Multiple Choices hapa, kama huwezi fikiria pekee yako then you are dead. Iโ€™m sure Tanzanian can answer these questions without referring to google๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Yani High School kuna questions za choices?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ No wonder most Tanzanians are stupid, hou canโ€™t think on your own๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Choices questions ni exams za Primary School huku Kenya.
Hiyo sio high school we ng'ombe na hamna mitihani huko, mna vipeperushi
 
Ilijengwa kuondoa msongamano wa magari Barabara ya chini.
Ingekua na magari mengi stuck kwa traffic tayari ingekua ishafail kwa basic design
Ilijengwa na Nani?? Na kwann munalipia SASA?? Nyinyi akili zenu za kiwendawazimu kabisa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Yani Highschooler anapewa multiple choice exam in this generagion? Kweli Tanzania is backward๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Yani kama mtihani ni huo basi kila mkenya angekua graduate, jamaa wamezoea spoon feeding, very lazy
 
Hiyo sio high school we ng'ombe na hamna mitihani huko, mna vipeperushi
Hiyo ni Highschool exam๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

No wonder watanzania wote ni wajinga, mtu mzima anapewa exam za choices kiaje?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Yani High School kuna questions za choices?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ No wonder most Tanzanians are stupid, hou canโ€™t think on your own๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Choices questions ni exams za Primary School huku Kenya.
Mitihani yenu ni yakipumbavu mno ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ yani hata siku moja kwa Mitihani hiyo usitarajie kama ungepata hata C huku Bongo. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Yani kama mtihani ni huo basi kila mkenya angekua graduate, jamaa wamezoea spoon feeding, very lazy
These people are very lazy, yani highschool student anapewa multiple choice exam๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Tuletee zile ziko big cities.
Hio kwala dry port aliokuonesha iko 80 to 90km from dar es salaam city na dhumuni lake haswa ninkuondoa malori dar es salaam, Yani malori yote yanaishia kwala yanakula mzigo Huko huko na kuondoka, so train itakua inafanya route zakutoa mzigo dar port kupeleka kwala port, umenielewa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ