Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ikiwa hii ndio mitihani yao ya History form four huko kwao, usitarajie hawa mbwa kujua chochote kuhusu historia ya dunia na Africa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ hizo maelezo wanapost wanaokota Google tu. ๐Ÿ‘‡๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ mtoto wa form one Tz anaeza buruza hizo mbuzi za kenya vibaya mno.
 
That's not a marshalling yard but dry port area.
Na washenzi 9 wanalike.
Hii nchi imejaa kihiis tupu sana
 
Nimepitia past papers za kiswahili form four huko Kenya ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ no wonder huyu mbwa Teargas alipata A , hii level ya kiswahili mimi nikiwa darasa la saba ningeweza kuwa top student kwa hizi form four exams huko kwao umavi mavini ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡Form 4 Kiswahili Paper 1 End of Term 1 Examination 2024.
 
That's not a marshalling yard but dry port area.
Na washenzi 9 wanalike.
Hii nchi imejaa kihiis tupu sana
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ kwamba hiyo ni dry port.? Waahh!! So poa .!! Hopefully haujachanganyikiwa. Dry port yetu inakaa hivi ๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • b6456-img-20200504-wa0120.jpg
    95.7 KB · Views: 40
Manina, Paper gani la kiwaki hivi, Utopolo mtupu. Hapa unapiga msonge bila shida. BTW kama mtihani ndio huu wa Form four hawa nyumbu wamebarikiwa midomo tu, midomo mirefu.
 
Manina, Paper gani la kiwaki hivi, Utopolo mtupu. Hapa unapiga msonge bila shida. BTW kama mtihani ndio huu wa Form four hawa nyumbu wamebarikiwa midomo tu, midomo mirefu.
Upo shallow kama kindergarten quiz ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ halafu wanasomea tu kuhusu Kijiji chao cha Kunyaland, waje wakutane na nondo huku tena hii ni mock, Unajua form 4 yao ndio ticket ya kwenda university, sasa hii ni form 4 yetu na bado ukifaulu huendi university ๐Ÿ˜

 
Ilijengwa kuondoa msongamano wa magari Barabara ya chini.
Ingekua na magari mengi stuck kwa traffic tayari ingekua ishafail kwa basic design
Lakini kila picha iliyopo magari mengi yapo barabara za chini wakati juu ni kweupe. Nadhani watu wengi wanaogopa barabara ya juu kwa sababu ya ushuru mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ