Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,173
- 107,750
Ila Wakenya wenzie wamemshukia!Ili kunusuru thread hii natangaza rasmi Leo kua kila kitu kinachokuja Tanzania kinatoka Kenya mpaka Boeing na airbus zimetoka Kenya, nafanya hvi kama mwenyekiti ili battle hii iendelee, hata boti zote za Azam zinatoka Kenya kulingana na governor sonko
Haya naomba likes zenu wakenya wote 🤣🤣
Yule Binti siku hizi wamempotezea anatafuta Attention. Hana lolote. Sasa hivi hana tofauti na Mange.Nilikuwa namuona wa maana ila nimegundua ni mpuuzi!
Who is Maria sarungi??🤣🤣🤣🤣
Nini kimefanikiwa? Ebu jibu Hilo swaliYani mtu mwenyewe hata mjadala anaoleta ni wakisenge.
Kuna mjadala wa maana hapo!?
Jadili kilichompeleka Samia France ni kipi na je kimefanikiwa?
Hilo ndio la msingi.
Habari za kupokelewa hazina mantiki yeyote.
She is a Tanzanian. Are you a Tanzanian?Who is Maria sarungi??🤣🤣🤣🤣
Tanzania ni nchi yenye kiwango cha juu cha uhuru wa kujieleza. In Tanzania everyone has freedom of expression. Siyo huko kenya wanaoruhusiwa kuongea ni kikuyu tu AKA MungikiShe is a Tanzanian. Are you a Tanzanian?
Anajulikana kama Nani kwenye nchi hii??🤣🤣She is a Tanzanian. Are you a Tanzanian?
Are you a Tanzanian? Please talk about Yemen, huko ndio kwenu😂😂Anajulikana kama Nani kwenye nchi hii??🤣🤣
Nakuuliza tena anacheo gani Tanzania na Nani anamjua???😂😂😂😂😂Are you a Tanzanian? Please talk about Yemen, huko ndio kwenu😂😂
Hii ni wizara ya mambo za nje inayoongozwa na kilaza wa Forest Hill.
Usiwasahau akina kipmeno😎...Siyo huko kenya wanaoruhusiwa kuongea ni kikuyu tu AKA Mungiki
Ila ukweli ni kuwa January ni serial failure tangu secondary na hamna lolote extraordinary anaweza likamilisha kokote kule.Nilikuwa namuona wa maana ila nimegundua ni mpuuzi!
Kipmeno arap Teargas yuko wapi na ile 'daily dose' yake?😎😎😎
So kwa argument zako ni kwamba mnaizidi Tanzania kwa idadi ya maghorofa, pia mnaizidi Dubai, London, New York kwa idadi ya maghorofa si ndiyo?Nimekuambia Tanzania hamuna magorofa ukaleta picha za nyumba mbili tatu. Nicxie akakupa mfano wa cluster bado hujajibu kwa picha za dar slum. Tanzania hakuna gorofa zinaanguka kwa sababu hamuna PERIOD!!!
Qmamaee sijui tunabishana nn na hawa wanuka mavi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣