COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
kenya inacollect tax mara mbili au tatu yenu...tuko na inerchange nakuru,kisumu,mombasa,kericho ata dar ndio mnajenga ya kwanzaSisi serikali inajenga kwa niaba ya wananchi, pesa itakayopatikana kutoka kwenye rent inaenda kuimarisha barabara na Hospital, ninyi pesa zinaingia mifukoni mwa matajiri, mliobaki mnaenda kulala katika slums
Tanzania inatumia pesa yake vizuri kwa maendeleo ya wananchi wake mara kumi yenu, ninyi 50% ya pesa mnayokusanya inaingia mifukoni mwa Uhuru Kenyatta na kundi lake, endeleeni kuwakusanyia pesa akina Waigurukenya inacollect tax mara mbili au tatu yenu...tuko na inerchange nakuru,kisumu,mombasa,kericho ata dar ndio mnajenga ya kwanza
Narudia kukwambia kinachozungumzia ni urban city area, usitafute maneno mengi yasiokua na tija 😀😀😀Shenzy type.....haya mambo tumeishi kukuambia kuwa eneo la Nairobi lililojengeka yani (metro) ni kubwa kuliko dar lakini umeishi kupinga kishabiki lakini sasa umeelewa
Sasa kwa hiyo umeona sisi tumelala tu kipindi mnajenga tumetulia tu au unaongea maneno ya kwenye kangakenya inacollect tax mara mbili au tatu yenu...tuko na inerchange nakuru,kisumu,mombasa,kericho ata dar ndio mnajenga ya kwanza
1590 km sq vs 260 km sq utatoa povu mpaka jua dunia inasmama😀😀😀😀😀Ziko..ndazileta..ujuwe ..msa..iko.bumper 2 bumber na dar
Wakikuonesha nitag😀😀😀
Inajengwa tena the modern one in east and central africaSgr mnayo?
[emoji23][emoji23]zote izo ili iweje unatafuta simple excuse? Do you think unaweza jenga kitu bila malengo?kumbuka phase II tayar iko launched kwahyo by 2021 tutakua na km zaidi ya zenu itakua dodoma na zaidi ngoma hailali apa...electric train pekee yataka 10000mw sisi tuta upgrade yetu tukisha pata umeme wa kutosha
😀😀😀 Aliekwambia nani???? Mkenya mpuuzi kweli huyuelectric train pekee yataka 10000mw sisi tuta upgrade yetu tukisha pata umeme wa kutosha
kakunywe supu ya albinoMatusi yapo wapi, mavi ya kuku ni matusi?, usitafute sababu ya kukimbia
Sisi tunajenga kwa mpigo phase mbili kwa pamoja 712 km from dar to dodoma safari hii tutasimama wima kisawasawa2020 na already sai niko na sgr..2020 itakua imefika uganda yenu ikifika morogoro
hakuna haja ukuwe na electric train na energy yako si sufficient thats why tunataka energy kwanza😀😀😀 Aliekwambia nani???? Mkenya mpuuzi kweli huyu
sasa train to dodoma itasaidia nini na hakuna cha maana dodoma?Sisi tunajenga kwa mpigo phase mbili kwa pamoja 712 km from dar to dodoma safari hii tutasimama wima kisawasawa
Hata kama mnasubiri umeme hiyo tren yenu mbona ni kama gari moshi tu si mngechukua la kisasa zaidhakuna haja ukuwe na electric train na energy yako si sufficient thats why tunataka energy kwanza
Nasikia polisi wamemkamata David Ndii na huenda wakampiga risasi, Kenya you are very primitive, I can smell civil war in Kenyakakunywe supu ya albino
Usiseme hakuna haja wakat sisi tunaona tunayo haja nimekwambia tunajenga the biggest dam in east africa itazalisha umeme 2100MW kinyerez one mpaka four zitazalisha umeme 1600W jumlisha na hii tulionayo 1800MW, kuna zingine zipo ila hatuwez zisema hapahakuna haja ukuwe na electric train na energy yako si sufficient thats why tunataka energy kwanza
Hakuna cha maana wakat serekali imeshaanza kuhamia dodoma na pia kuna huge project zinaendelea huko au unataka tukutajie ndio uamini😀😀😀sasa train to dodoma itasaidia nini na hakuna cha maana dodoma?
Mna supper highway?..mpo na zip lining? Mna by passes?..mna underpass?...mna tunnel (railway) ,mna geothermal energy???...mna race course??? Mna wind energy??? Mna multi nationals(mko na zero tuko na over 200)..etc mko down kama slippersuc siyo. Mpo na under sea building kama yetu zanzibar?
Sai hakuna cha maana sgr yetu phase one inalink msa to nai very important.... Sasa dar to Dodoma si nikama Mombasa to garissaHakuna cha maana wakat serekali imeshaanza kuhamia dodoma na pia kuna huge project zinaendelea huko au unataka tukutajie ndio uamini😀😀😀