Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mlizinunua wapi kama hakuzinunua Kenya? Ukiniambia penye mlizinunua apart from Kenya nafunga accountπŸ˜‚πŸ˜‚
 
We all know Kenya ndio inacontrol Tanzanian economy.

Ebu nitajie kampuni kumi pekee za Tanzania that are in Kenya alafu Mimi nikutajie 500 Kenyan companies operating in Tanzania.
Kampuni moja tu ya Tanzania gas company imewekeza pesa nyingi kuliko kampuni yoyote hapo Kenya tangu mpate Uhuru 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kampuni moja tu ya Tanzania gas company imewekeza pesa nyingi kuliko kampuni yoyote hapo Kenya tangu mpate Uhuru 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Ndivyo mulidanganywa na rostam πŸ˜…πŸ˜…
 
Kampuni moja tu ya Tanzania gas company imewekeza pesa nyingi kuliko kampuni yoyote hapo Kenya tangu mpate Uhuru 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Wapi hiyo kampuni? Hiyo pesa imewekezwa wapi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Kama wewe ni mwanaume ebu tuonyeshe hiyo kampuni.
 
Eeh! Ila ni kwamba after that We own them as whole. Ila nyie sasa GTC, EXPRESSWAY, SGR ni Zao na mnaendelea kulipia gharama.

Na ukiandangalia hivyo ndivyo vinawaweka mjini.
Mlisamehewa manake waliona hamuna uwezoπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Tazara railway, Library China, OB Van China. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Nyinyi mumezoea wachina vibaya na umaskini wenu.
Na ndiyo mchina huyo huyo aliyewajengea almost kila kitu kwa mkopo hapo kwenu, ninyi wakenya ni mbwa sana na hamna shukran.
 
Umesema Tanzania ni omba omba republic?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

By the way 41% of their budget is supported by grants and donations πŸ˜‚
Unajua awamu ya Tano iliyowapa pressure na ambayo imetengeneza nyundo ya kuwaulia ilikua haipendwi na Donors, hili bwawa tu alipata Upinzani.

Na ndiyo serikali ilikua na Miradi ya Matrilion na mikubwa mikubwa. Alafu akili yako inakwambia eti tunategemea Donors?.
 
Tatu City Iko Kiambu County while Konza City is located at the edge of three counties (Makueni, Machakos and Kitui). Meaning Konza City is made up of three counties.
Counties ni Level za mikoa huku au Wilaya?
 
Eeh! Ila ni kwamba after that We own them as whole. Ila nyie sasa GTC, EXPRESSWAY, SGR ni Zao na mnaendelea kulipia gharama.

Na ukiandangalia hivyo ndivyo vinawaweka mjini.
Mlisamehewa deni?

Hamngesamehewa bado mngekuwa mnang’Ang’Ana kulipa hadi wa leo.
 
Nani amekuambia hamkuwa mnapata donations and grants during Mqguguli time? Nitoe receipts?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

By the way all your major projects are all either loan, donations or grants.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…