Mnatucontrol na Ksh 800M? Kweli umaskini imekuaribu akili๐๐๐.Kampuni ya kitanzania kuwekeza kenya (kwenu)kwenye sekta ya habari, kiasi kikubwa cha pesa ili mpate kuangalia mpira kwa picha HD na technology ya hali ya juu, hii haikuambii kwamba we control you.? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
True China ni Marafiki zetu ndio maana walitujengea Reli ya Tazara miaka ya 70s. Kutokana na tuliwasaidia kuingia kwenye UN Security Council.Mumezoea wachina vibaya na omba omba zenu. ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ Kenya wachina wanafanya biashara kubwa kubwa lakini bongoslum ni misaada tu.๐๐๐
Sawa, and sahii mmeona mtu overtake kwa ku sign BOGUS treaty.? ๐คฃ๐คฃ๐คฃMumezoea misaada kutoka kitambo ju nyinyi ni maskini. ๐๐๐
Source from USA in 2014 ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Upo desperate sanaMumezoea misaada kutoka kitambo ju nyinyi ni maskini. ๐๐๐
Sisi hatupewei misaada ovyo ovyo na Uchina, sisi tunafanya biashara nao.Sawa, and sahii mmeona mtu overtake kwa ku sign BOGUS treaty.? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Maskini omba omba, mumezoea vya bure, ndio maana hua mko lazy. ๐ ๐ ๐True China ni Marafiki zetu ndio maana walitujengea Reli ya Tazara miaka ya 70s. Kutokana na tuliwasaidia kuingia kwenye UN Security Council.
Tanzania is a Socialist State china also.
Wachina waliwapiga KO kwenye Reli ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ
View attachment 2987926
Wakati tunafanya mambo mazito kama hayo, jirani anahangaika na big G,na kutuonyesha mobilu ๐๐
Wakati tunafanya mambo mazito kama hayo, jirani anahangaika na big G,na kutuonyesha mobilu ๐๐
Picha za mwaka gani hizi๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃChina AID ๐ ๐ ๐ Nchi masikini lazima mupewe msaada.
China aid Ukunyani hu-fight njaa! unabisha?China Aid kila mahali. ๐๐๐๐
Mnapewa chakula cha msaada! Usijifanye ndondocha!Sisi hatupewei misaada ovyo ovyo na Uchina, sisi tunafanya biashara nao.
Wewe ni maandazi ๐คฃ๐คฃ๐คฃ una uwezo mdogo wa kufikiri..Mnatucontrol na Ksh 800M? Kweli umaskini imekuaribu akili๐๐๐.
Ksh 800M inaezafanya nini Kenya hii?๐๐๐
Sindio.? sikuhizi mnafanya kwa ku sign BOGUS treaty.? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ wazungu wamezipea jina ati ni Chinese dept trap.Sisi hatupewei misaada ovyo ovyo na Uchina, sisi tunafanya biashara nao.
Drought is a natural catastrophe that deserves AID.Mnapewa chakula cha msaada! Usijifanye ndondocha!
Africa - Latest African News, Videos and Opinions | CGTN
The latest Africa-focused news, videos, and photos on politics, economy, society, and culture from CGTN Africa. Through on-the-ground reporting and in-depth analysis, we bring global audiences closer to Africaโs stories, perspectives, and developments shaping the continent and beyond.africa.cgtn.com
Umeyakanyaga. Subiri sasa tukuufungukieChina Aid ๐๐๐
China Aid ๐๐๐
We acha tu kitu kama Mbudya Island ingekua kwa nchi inayojielewa like DUBAI now ingekua inatoa mamilioni.Pwani ya lindi mtwara inazipiku zote hizo,tuombe tu siku yake hawa ccm waache ujinga wao wa kulinda utalii wa znz