Amini unachotaka😂😂Leta ushahidi wa picha niamini tatu kuna aseembly plant ya howo mm nifunge ACC
Ni simple Tu kila MTU anajua assembly plant inavokaa leta ushahidi wa picha au video tuone plant ya tatu inakaaje 🤣🤣🤣
View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1788478188529832381?t=7tbGWyL8OAEDSWqRuNZYcQ&s=19
Unajieleza mno. Fact haielezwi kwa maneno meeengi hivyo.
Leta picha za assembly plant tuone au assembly plant zenu ni invisible?🤣🤣🤣🤣🤣
👇👇👇👇👇👇👇👇👇😅😅😅😅 Very simple
Leta picha za assembly plant tuone au assembly plant zenu ni invisible?🤣🤣🤣🤣🤣
Ww usifkiri watu wajinga Sana humu ndani
Leta ushahidi kama huu mm nifunge ACC mamaeee🤣🤣🤣👇👇👇👇
View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1788478188529832381?t=7tbGWyL8OAEDSWqRuNZYcQ&s=19
Jamaa anajifurahisha tu. Kenya kwa sasa ipo nyuma sana. Just vitu simple anatoa maelezo mareeeeeeefu. 🤣 🤣 🤣 🤣Leta picha za assembly plant tuone au assembly plant zenu ni invisible?🤣🤣🤣🤣🤣
Ww usifkiri watu wajinga Sana humu ndani
Leta ushahidi kama huu mm nifunge ACC mamaeee🤣🤣🤣👇👇👇👇
View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1788478188529832381?t=7tbGWyL8OAEDSWqRuNZYcQ&s=19
Hawezi kupata mpaka kiyama mzee 😅😅Jamaa anajifurahisha tu. Kenya kwa sasa ipo nyuma sana. Just vitu simple anatoa maelezo mareeeeeeefu. 🤣 🤣 🤣 🤣
Leta ushahidi wa assembly plant picha au video tuone hapa kua ni assembly plant na nakuahidi hutopata mpaka kiyama kinaingia 😅😅😅😅
Leo hatupumui huku ju mumeanza kuassemble lorry in 2024. 😂 😂 😂 Enyewe hua muko nyuma kama matako.Hizi zote ni garage mzee 🤣🤣🤣 whether you like it on not. There's one and only HOWO's Assembling plant in East Africa.
Sometime uwe unakubali mambo. Mzee unakomaa kujifurahisha mwenyewe. 🤣 🤣 🤣.
Leta ushahidi wa assembly plant picha au video tuone hapa kua ni assembly plant na nakuahidi hutopata mpaka kiyama kinaingia 😅😅😅😅
We are talking about Truck mzee.Leo hatupumui huku ju mumeanza kuassemble lorry in 2024. 😂 😂 😂 Enyewe hua muko nyuma kama matako.
2024 hawana hata approve CAF stadium alaf wao ndio wanajiita wazungu weusi🤣🤣🤣
Tulijua wako level za singapore kumbe hata Malawi imewaacha mbali Sana 😅😅😅
Umeumiaaaa, Hatimaye umeona ngoja ujitutumue 🤣 🤣 🤣 KARIBU Tuoneshe Viwanja vya Mpira na Mabasi matano
Ushampa mpaka jina!?
Eti shamba boi lamamayee😂😂😂🙆🏿♂️🙆🏿♂️.
Halafu leo nipo kwenu Tanga huku wajina.
Tupate wadhamini kidogo.2024 hawana hata approve CAF stadium alaf wao ndio wanajiita wazungu weusi🤣🤣🤣
Tulijua wako level za singapore kumbe hata Malawi imewaacha mbali Sana 😅😅😅
Hivi wewe nyang'au kipmeno unajifanya huelewi swali uliloulizwa na ichoboy01?😎Kama imeandikwa tu basi zile HOWO trucks circled in yellow and blue zinafanya nini hapo?😂😂
View attachment 2986131
Uzuri watu wengi wameshawashtukia😎Makenya yameenda Youtube kutengeneza malist yao ya mchongo ili tu kuridhisha nafsi kuwa wako mbele na Tanzania iko nyuma sana.
Africa hii unapoongelea best railways system, high speed trains, hakuna kama Tanzania.
View: https://www.youtube.com/watch?v=lDaICHDhc6E