Leta ushahidi kama huu๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐Wanafurahia kampuni malaya kuunganisha Lory kwao, hawajui all East Africa countries assemble HOWO trucks๐๐
Unatuletea Garage mzee ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ Tanzania Garage kama hiyo zipo zaidi ya 1m.
Na hutopata ushahidi mpaka kiyama๐คฃ๐คฃ๐คฃWanafurahia kampuni malaya kuunganisha Lory kwao, hawajui all East Africa countries assemble HOWO trucks๐๐
Na hio sio garage ni ofisi ya kuuza magari Yao wanayo import kutoka china hata hapa walikua nayo ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃUnatuletea Garage mzee ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ Tanzania Garage kama hiyo zipo zaidi ya 1m.
Sasa hivi itatumika ku import Magari toka Tanzania ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃNa hio sio garage ni ofisi ya kuuza magari Yao wanayo import kutoka china hata hapa walikua nayo ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kama imeandikwa tu basi zile HOWO trucks circled in yellow and blue zinafanya nini hapo?๐๐Mm sitaki maneno nataka ushahidi wa kiwandani maneno hata kwenye kanga yapo ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ hakuna mkenya mkweli kwenye dunia hii ukipata ushahidi mm nafunga acc
Hii ndio Tanzania...uwe mzungu, mchina, mhindi, mwarabu,n.k...lugha ni Kiswahili tu...sio mtu anakaa pale Kibera anajifanya mwingereza wakati TZ hadi mabilionea kama hawa wanaongea Kiswahili....Wakenya wasione hii plz ๐ ๐ ๐ sipendi ugonv
View: https://www.instagram.com/reel/C6vH4o7t_ob/?igsh=MWt4aHh2ZW8xYmI2dw==
Ndio mmepata assembly plant ya HOWO leo mnadhani ni nyinyi pekee ndio mko nayo. Hata Uganda imewatangulia๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Assembly plant imewatoa kamasi
View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1788478188529832381?t=3gNnILPhrLW8K9w9wVp5fA&s=19
Mbona mzee hutaki kuweka link? ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ Unaweka Screenshot ๐คฃ๐คฃ๐คฃ unaogopa nini? Unatuwekea GarageKama imeandikwa tu basi zile HOWO trucks circled in yellow and blue zinafanya nini hapo?๐๐
View attachment 2986131
Na hamuna plant assembly ya howo na hamutakua nayo mpaka kiyama๐คฃ๐คฃ๐คฃNdio mmepata assembly plant ya HOWO leo mnadhani ni nyinyi pekee ndio mko nayo. Hata Uganda imewatangulia๐๐
Hili hata ufungue mlango taratibu linakata na hilo bati kama kisu๐
Ww unajua maana ya assembly plant hio ni ofisi za howo wanaleta magari Yao kwa ajili ya mauzo lakini sio assembly plant haipo na haitakuwepo mpaka kiyama ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃKama imeandikwa tu basi zile HOWO trucks circled in yellow and blue zinafanya nini hapo?๐๐
View attachment 2986131
Ngoja tukuongezee na nyingine. Tanzania we are serious. Whether you like it or notNdio mmepata assembly plant ya HOWO leo mnadhani ni nyinyi pekee ndio mko nayo. Hata Uganda imewatangulia๐๐
Kati yako na Tatu City na Mchina tuamini nani?๐๐Na hamuna plant assembly ya howo na hamutakua nayo mpaka kiyama๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Leta picha za assembly plant ya howo Uganda nifunge ACC SASA hvi ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Leta ushahidi wa picha niamini tatu kuna aseembly plant ya howo mm nifunge ACCKati yako na Tatu City na Mchina tuamini nani?๐๐
Soma the Highlighted part by Tatu City monthly Magazine.
View attachment 2986143
Utahangaika sana.Ww unajua maana ya assembly plant hio ni ofisi za howo wanaleta magari Yao kwa ajili ya mauzo lakini sio assembly plant haipo na haitakuwepo mpaka kiyama ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kama hujui maana ya assembly plant fungua video hii hapa๐๐๐๐๐
View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1788478188529832381?t=7tbGWyL8OAEDSWqRuNZYcQ&s=19