Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SA uwanja zao modern hazina running track kama izo takataka za west Africa.
Unawatch ball ukiwa 1km far!!!
SA uwanja zao modern hazina running track kama izo takataka za west Africa.
Unawatch ball ukiwa 1km far!!!
Kuwa serious bro uwanja kuwa na running track hauondoi sababu ya kuwa na modernity.
Kuwa na running track ni kuonesha tu multipurpose ya uwanja.
1km bro!!?kuwa serious!!
 
Huu uwanja utakua under performance for so long sababu ya SGR, hiyo tujipange kabisa psychologically
I will stand with my point always . Dodoma haikuhitaji new international airport mwaka huu labda , 2030s the regional Airport was more than enough , ina runway ya 2.5m inatosha A220s na E190s kutua . Ilohitaji tu a good terminal buildinig with good capacity na 5star standards .

Airport ingejengwa 2030s , hio 200mi usd ingeenda kumalizia SGRs au Kupanua Dar port iwe na gati nyingi zaidi

It was a good priority but wrong time
 
Budget ya Uchukuzi
Air Tanzania itaongezewa ndege , looks like Max 9 , 737 800F with 23 tonnes na Q400s

Nilisema humu kwamba 737 800 F should be the next plane , watu wakaona sipendi maendeleo ya Taifa kuwa nataka ndege ndogo.Now you see

737 800F inahitajika due to its flexibility sio kila mara you can fill a 54 tonne plane

Now this is a good priority . Ita support 767 F
Next phase ni kutafuta 767F nyingine sasa au 777F kabisa , na kujenga Big Cargo termimal Dar
 
Good
Ni furaha sana kuona hivi
I hope itazidi kukua na kuanza ku export ndege .Nchi za Jirani
 
Air Tanzania is already flying to Lubumbashi , i think by now inatakiwa iwe inaenda Kinshassa na Goma , sijui kwanini wanashinswa kuona hii chance.


Tuna 737 Max 9 inashinda siku nzima ikitoka Dubai haina cha kufanya , of course a223 3 ziko grounded but , hii max 9 na Dreamliner zinaweza ply hii route .

Huyu CEO yuko slow sana
 
Help me polish it. That is the correct English. Sio hiyo nyingine inakaa kinyamwezi


Sasa kama hii ndio kizungu yako na unatamb hapa eti you lived in Johannesburg, hali ingekuwaje ungeishi Tandale kama wenzako hapa?
They tease our knowledge of the language but what they don’t understand , we not only speak it fluently, we know all the rules to perfection.. As a sophomore in college, I was a substitute English teacher at the University high school.. ( lots of American universities have High schools attached to the Education faculty)… many of my students were surprised I was doing so due to my African roots… but we are Kenyans, we mastered the Language better than the originators…😄
 
Serious kabsaaa, capital city bila international airport!? Msifananishe Dodoma city na Chato aisee! Muwe na little respect!

By the time taasisi zote zina-move Dodoma baada ya completion ya Government city Mtumba kutakuwa na ongezeko la +200,000 government officials! Hii itasukuma balozi kuhamishia makazi yao pia.

BTW AfDB walifanya feasibility study kabla ya kutoa loan. Na jiji la Dodoma linashindana na la Mwanza kwa idadi ya watu saahii!


View: https://youtu.be/oyc0hiaJ3kk?si=8uShOOEYafrpFHaW
 
Ni muhimu kweli , kuwa na international ,nimeona tu imewahi kujengwa (timing) , the idea is right , issue ni muda , anyways ujenzi unaendelea so ni sawa tu
 
Ni muhimu kweli , kuwa na international ,nimeona tu imewahi kujengwa (timing) , the idea is right , issue ni muda , anyways ujenzi unaendelea so ni sawa tu
Unajua wizara zikihamia yale majengo 68 plus, ofisi za makao makuu ya Taasisi na ubalozi zitafuatia. Ile airport itatumika vizuri kuchochea movements.
 
They even trust us with their academic writing projects. Kenya is the hub of academic writing in Africa for American and British students who can't write their own papers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…