Yes hua napenda tu argue namna hii..Being EAC headquarters is non-issue...Dodoma is also Tanzania headquarters..
Agriculture u can't come close,industries eldy sio mchezo
Ninazo kwa wingi sana, mwenzako MK254 nilimpea za kutosha sana, akakimbia, ila ninakuhakikishia, Muhimbili ipo level moja na Karen Hospital huko kwenu au Nairobi Hospital, procedure zinazofanyika daily ambazo KNH haijawahi kufanya niUnaeza nipea evidence sio kuropoka
Picha nadhani nlishzitumaMbona unaongea sana bila vitendo:
Arusha
Aerial ya cbd?Mbona unaongea sana bila vitendo:
Arusha
Izi zote ziko hadi garisaMbona unaongea sana bila vitendo:
Arusha
Siyo picha tu nataka shughuli zinazofanyika katika mji huo. Uziweke hapa na utaje majina ya companies hizo na statistics. Na sisi tutakupatia kwa upande wetu.Aerial ya cbd?
Industries za eldy ni mob sana na inalisha Kenya yote..plus maziwa hukam hadi tz...flowers from around zinaexportiwa ..real estate yake ni noma sana and among the fastest growingYes hua napenda tu argue namna hii..
Arusha kama ulikua hujui inatoa mazao ya biashara mengi nakuuza Kenya, vitunguu maji,vitunguu swaumu,na viungo vyote vya chakula,ukija kwenye mazao mengine ya kilimo kama maua kahawa,ndizi,mahindi, viazi nk
Arusha pia wanaviwanda vikubwa vingi
viwanda vya kutengeneza tails,vinywaji baridi na pombe,textile,viwanda vya vyakula mf tomato sauce,chilsauce,ketchup, viwanda vya diery products na vingine kadhaa
https://www.google.com/amp/s/citize...h207bn-industrial-park-in-eldoret-169520/amp/ iyo tu ni mfanoSiyo picha tu nataka shughuli zinazofanyika katika mji huo. Uziweke hapa na utaje majina ya companies hizo na statistics. Na sisi tutakupatia kwa upande wetu.
Kwa mfano upande wa vyuo vya kimataifa nimekuwekea Nelson Mandela. Sasa na wewe unatakiwa ufanye hivyo siyo maneno maneno mengi ya kuzidiwa. Kwa upande wa utalii umekubali. Na kwa upande wa Hotels umekubali. Sasa twende kwenye mambo mengine.
Hapo unaongelea project.
Even Arusha wanakimbia sana...ndio mana nilikwambia eld haiwez zidi Arusha, issue za maziwa uku tz watu wengi sana hutumia local products Za maziwa yaani maziwa packed kabisa ni watu wachache ndio hupendelea, kuna maziwa mengi sana mitaani localy made ...Industries za eldy ni mob sana na inalisha Kenya yote..plus maziwa hukam hadi tz...flowers from around zinaexportiwa ..real estate yake ni noma sana and among the fastest growing
Kama vile silijuiFala Wewe....ii nipicha yah 2013.....iyo tower iliisha kitambo
Ngoja nizipitie wakati napitia nawewe usome hapa:Annael universities ndio hizi...sijaongeza institutes na polytechnics
Universities in Eldoret
Industries arusha haitoweza eldyEven Arusha wanakimbia sana...ndio mana nilikwambia eld haiwez zidi Arusha, issue za maziwa uku tz watu wengi sana hutumia local products Za maziwa yaani maziwa packed kabisa ni watu wachache ndio hupendelea, kuna maziwa mengi sana mitaani localy made ...
Arusha hutumia KIA ni usawa wa km 40 hivi kwahyo hakuna international airport ,Mayb uje one facts eld inazidi KIA unless nmekumaliza tayar
Then bado real estate, transport eldy iko katikati ya nai na Kampala so ni major centre of exports and importsEven Arusha wanakimbia sana...ndio mana nilikwambia eld haiwez zidi Arusha, issue za maziwa uku tz watu wengi sana hutumia local products Za maziwa yaani maziwa packed kabisa ni watu wachache ndio hupendelea, kuna maziwa mengi sana mitaani localy made ...
Arusha hutumia KIA ni usawa wa km 40 hivi kwahyo hakuna international airport ,Mayb uje one facts eld inazidi KIA unless nmekumaliza tayar
Leta jengo la 20flr mombasa acha kujifanya huoni textSasa..unajudge.na mm Niko msa
Umesahau kamuulize nairobi walker😀😀😀 alipoona kashindwa akaanza kuleta mpaka jengo ambazo hazijakamilikaNyinyi ndio mlikimbia haha
Dar ina over30flr 5Just like dar minus two towers