ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,455
- 89,863
Kongole ya nn hebu nielekeze nielewe sijaelewa point yako 😅😅😅Kwa hili nawapa kongole Kundustan
View: https://twitter.com/HabariLeo/status/1786027229815754814?t=ITt3gL1Rwy7bzHTVMnqRqA&s=19
Siku Tanzania ikiwa na CDF au IGP mwanamke ndio utaelewa kongole ni ya nini.Kongole ya nn hebu nielekeze nielewe sijaelewa point yako 😅😅😅
Hvi ww akili yako iko sawa sawa? aliekwambia CDF wa Kenya ni mwanamke Nani ??? 😅😅😅 Kwann hua husomi habari kwa umakini alaf ukaelewa vyema, kwann unapenda Sana kukurupuka ??Siku Tanzania ikiwa na CDF au IGP mwanamke ndio utaelewa kongole ni ya nini.
Wapi nimesema CDF wa Kenya ni mwanamke? Acha kuvuja mkojo mdomoniHvi ww akili yako iko sawa sawa? aliekwambia CDF wa Kenya ni mwanamke Nani ??? 😅😅😅 Kwann hua husomi habari kwa umaskini alaf ukaelewa vyema, kwann unapenda Sana kukurupuka ??
Tuliza akili yako mzee sometimes unaonekana kama taa ya check engine inawaka
View: https://twitter.com/CTNSIS/status/1785959579198607504?t=_tC_iVYUqHO5ajbMA81law&s=19
View: https://twitter.com/aomenya/status/1785969249707552869?t=OFAi40LF-WqKQ8XDKuUPgw&s=19
View: https://twitter.com/WueehTV/status/1785999936510677435?t=QR1Gc1YhdBAFjUf2NJgfag&s=19
Kwann umesema siku tukipata CDF mwanamke nitajua maana ya kongole??Wapi nimesema CDF wa Kenya ni mwanamke? Acha kuvuja mkojo mdomoni
Kwa sababu tunajifinza Kwa waliowainua wanawake level za Juu.Hata Rais alisema msije kushangaa siku Moja CDF akiwa mwanamke.Kwann umesema siku tukipata CDF mwanamke nitajua maana ya kongole??
SASA nikuulize tena kongole Ile ulokua unamanisha nn??😅😅😅😅😅😅
Anakwenda mbio Sana mzee wakat mwengine hua nadhani relay yako ya kichwa inapiga cheche
Mwanamke atabaki kua mwanamke as long matabaka ya mwanamke na mwanaume ni tofaut Yani alietuumba hakuweka usawa, uje wewe mwenye akili za sisimizi uweke usawa, ww unafkiri kwann linatumika Neno akiwezeshwa anaweza maana yake ni mpaka awezeshwe na mwanaume ndio aweze, simple and clear 😅😅😅😅😅😅 na hata upande wa Rais wetu ni same dodo limedodoka likaokotwa sio kwamba alichaguliwa na wananchi, usipende kukuza Mada ambayo haina mantikiKwa sababu tunajifinza Kwa waliowainua wanawake level za Juu.Hata Rais alisema msije kushangaa siku Moja CDF akiwa mwanamke.
Acha kupenga makamasi Kwa njia ya mdomo
Mwalimu wako alipata tabu sana kukufundisha darasaniThanks for confirming that indeed these are stadiums in Africa and have nothing to do with approval 😂😂😂.
Ukinionyesha report ya CAF natoka JF for good😂😂
Flyover za wapi hizi? Maeneo gani?
Bado hawaja pata stima wachaji simu zao hawa ng'ombe wa North? Kuna giza sana na ukimya hapaa...
View attachment 2979296
Aki nimecheka sana jirani anajua kweli ku massage maneno eti system disturbance 🤣🤣🤣Bado hawaja pata stima wachaji simu zao hawa ng'ombe wa North? Kuna giza sana na ukimya hapaa...
View attachment 2979296
Meanwhile Rachel Ruto is kneeling and praying for the floodwaters to recede😎Another Covid type episode…🫢….Mangufuli taught them well..🤣🤣
Sasa mlitaka wafanyaje?Ila Kenya ina watu wa hovyo jamani dah!
Hapo sio Tanzania labda ni reli ya kenya maana sioni electrical installations kwenye hiyo reli? Ours is electric remember?😁It’s called Mangufulism… deny and more deny…🤣🤣🤣
Aki nimecheka sana jirani anajua kweli ku massage maneno eti system disturbance 🤣🤣🤣