Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Daily dose

Pale Talanta chuma za nguzo zishaanza kufungwa. Hivi uwanja wa Arusha umefikia wapi?😂😂


View: https://www.instagram.com/reel/C6Ye-xoIkTE/?igsh=MWF0NmVlNm15dTFndA==
Tanzania huiwezi kwenye soccer mkuu, we plan to build 4 new stadia, Mkapa (renovation), Uhuru (renovation), Arusha, na Dodoma. Mind you we also have Amani stadium and Azam complex, both are CAF approved stadia, ni matusi Kenya kujilinganisha na Tanzania kwenye soccer facilities.
 
Kunyaland ukiachana na shoddy airports pamoja na ushoddy wake havizidi vitatu, Tanzania kwenye chochote kinachohusu transportation hatuna wa kutufikia ukanda huu, iwe airports, ports, roads, railways, communication infrastructures etc zote hawapo

 
Leta video imefika 200 mm nifunge ACC forever 😅😅😅😅 ikiwa Mombasa to Nairobi 470km inachukua 6 hours ni sawa na average ya 80km/hr lini ilifika 200km na lini itafika hio speed
Yes treni lao la SGR linatumia masaa sita kutoka Nairobi hadi Mombasa...ushahidi ni hii video hapa chini mkenya mwenzao kasema wametumia masaa sita hapo dakika ya 3:26


View: https://youtu.be/1x-uOPEQ8nE
 
CAF approved Stadium 😂😂😂

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…