NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,305
- 19,663
Hayo maneno mmejiaminisha wenyewe ila wengine hawamuoni hivo. Si ni juzi tu Mnijeria alisema mnajifanya Wazungu?Where Imesema tuliing'oa, yaani me naleta hapa evidence kabisa we unaniletea blah blah. Weka evidence.
Eti Inferiority complex, unaiongea sana vipi unayo?
Mtanzania awe na inferiority complex kwa Mkenya? Are you serious Mtanzania ambae anastand anachokiamini bila kujali wengine wanaonaje awe na inferiority complex kwa yule anayelamba watu viatu?
Tuling'oa sisi Tanzania kuiona haina faida kwetu kulinda bandari ya tanga na dar
Kenyans donβt look for justifications from people like Tanzanians. Kenyans like to criticize things back at home. Hata tungejengewa SGR thatβs capable of handling trains going at a speed of 800km/hr bado wakenya wangecriticize tu.Fanya uwapelekee ndugu zako twitter na sehemu zote uwapoze machungu sasa.
Na hiyo video. Serious unaamina ngijangija yenu ambayo ina warning kama zote ya Max speed 100km/h kuanzia dashboard kuwekewa red line, mpaka nje kuandikwa bado unajitoa ufahamu.
Why can't you answer a straightforward question bila kupiga makona broo?Bro ulipokua unasoma ulimajor sehemu gani?
Because age inashow some experience and exposure ya mambo.Instead of addressing my points, you're hiding behind my supposed age and asking another silly question.
π€£π€£π€£π€£π€£ Sasa unafanya nini humu kutuletea dashboard yenye red notice, na tangazo? What your purpose? Proving yenu iko juu sio?Kenyans donβt look for justifications from people like Tanzanians. Kenyans like to criticize things back at home. Hata tungejengewa SGR thatβs capable of handling trains going at a speed of 800km/hr bado wakenya wangecriticize tu.
Hamna reli imengβolewa reli ilikufa baada ya EAC kuvunjika in 1977! Ikabaki redundant! Hamna economic benefits kuifufua!Tuling'oa sisi Tanzania kuiona haina faida kwetu kulinda bandari ya tanga na dar
Nilikua nataka kumuulizaπHii ndio 722km?ππ
Kwamba Rosemary Odinga kuongea mbele ya UN ni just kuongea tu?Hayo maneno mmejiaminisha wenyewe ila wengine hawamuoni hivo. Si ni juzi tu Mnijeria alisema mnajifanya Wazungu?
Ndio hii hapa comment mliyosema mling'oa reli. Ingekuwa Kenya tumeing'oa ili Bandari yenu isifaidike mngeiweka Hadi kwenye syllabus msiwai sahau.
Pole kwa hasira.π€£π€£π€£π€£π€£ Sasa unafanya nini humu kutuletea dashboard yenye red notice, na tangazo? What your purpose? Proving yenu iko juu sio?
Basi wenzako wanaona yetu ipo juu kawasaidie simple as that.
Watanzania ni wajinga kweli kweli. Ati kutoka Dar hadi Dodoma ni 722kmπππNilikua nataka kumuulizaπ
Hili jengo lipo toka kipindi cha magufuli na yeye ndio alitaka lijengwe nalijua vzr Sana
So which exposure have you shown in this case?Because age inashow some experience and exposure ya mambo.
Acha kudanganya we nyang'au, they can do 500km/h au sio??Actually new Kenyan Locomotives can do above 300km/hr.
Because I feel elimu yako ina matatizo. Arguments zako unawekewa hoja alafu unatoa majibu rahisi, rahisi.Why can't you answer a straightforward question bila kupiga makona broo?
I've already addressed these issues and told you, you make mountains out of mole hills ama hujui kusoma? Rosemary apologized and said she intended to say Olorgeseille which is a historical site in Kenya and confused it with Olduvai Gorge. Years and years you're still on it crying. That's why I say you're crybabies. Nimekupa hapo mifano ya mambo makubwa zaidi ambayo Tanzania imefanyia Kenya deliberately na hatuyaongelei badala ya kuaddress unaniattack eti una miaka ngapi, umesomea Nini. Nilidhani you were better of naona kama uko tu kama hizi ng'ombe zengine.Kwamba Rosemary Odinga kuongea mbele ya UN ni just kuongea tu?
Well amini unavyoamini basi.