Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,172
- 107,749
Roho inakuuma nn? Au baada ya kugundua Nairobi haioni ndani kwa quality hotels za Zanzibar? BTW Kabla ya Muarabu unajua visiwa vile nani alikuwa anakaa? Unajua kabla ya Zanzibar Kilwa ndo ilikuwa mwamba wa ukanda woote wa East Africa! Muulize Ibn Batuta!Wewe ni kama Kima hivi. Nchi kubwa iliyo na resources nyingi haiwezi ikajiunga na nchi nyingine. Kanchi kadogo katakua more willing kujiunga na nchi nyingine. Ndio maana nakwambia kama Zanzibar Sultanate ingekuwa na ukubwa iliyokuwa nayo haingekuwa na motivation ya kujiunga na Tanganyika maanake wangekuwa na kila kitu including security.
Wakaacha kujenga vyoo kule Ukunyani!Hela zimeenda kujenga base kwenye moon 😁
Seems nilikua wrong hakuna cha Mt. Kilimanjaro kua kwenu haya basi, fanya tuchukue chetu mbaki Landlocked au vipi?Kumbe unajua Mt. Kilimanjaro ilikuwa yetu.
May be nimekosea.Sio kweli walinunua toka sultan wa Zanzibar!
Dam it seem nimewrong haukua kwenu Mt. Kilimanjaro sisi ndio tunataka pwani yetu.Kumbe unajua Mt. Kilimanjaro ilikuwa yetu.
First trial testSpeed ya locomotive. 80km/h
You're arguing like a fool.Roho inakuuma nn? Au baada ya kugundua Nairobi haioni ndani kwa quality hotels za Zanzibar? BTW Kabla ya Muarabu unajua visiwa vile nani alikuwa anakaa? Unajua kabla ya Zanzibar kilwa ndo ilikuwa mwamba wa ukanda woote wa East Africa!
Pwani ilikuwa ya Zanzibar sultanate. Hiyo purchase haingefanyika hamgekuwa na pwani. Zanzibar ingekuwa nchi kivyake. Mngekuwa landlocked.Dam it seem nimewrong haukua kwenu Mt. Kilimanjaro sisi ndio tunataka pwani yetu.
View attachment 2970689
What make you say this?Pwani ilikuwa ya Zanzibar sultanate. Hiyo purchase haingefanyika hamgekuwa na pwani. Zanzibar ingekuwa nchi kivyake. Mngekuwa landlocked.
Dam it seem nimewrong haukua kwenu Mt. Kilimanjaro sisi ndio tunataka pwani yetu.
View attachment 2970689
Si may be umekosea jifunze historia sahihi na si upotoshaji unaofanya! Mt Kilimanjaro haijawahi kuwa chini ya Kenya au wakoloni wao!May be nimekosea.
Mama Ngina ndio alikua driver ??😅😅😅Speed ya locomotive. 80km/h
The purchase of the Kenyan coast from the Zanzibari Sultanate happened at the same time the purchase of the Tanzanian coast happened. If both purchases hadn't happened, Zanzibar would have been a large country at independence and would not have had the motivation to join with Tanganyika.What make you say this?
Nimeconfirm haijawahi kua upande wa Kenya.Si may be umekosea jifunze historia sahihi na si upotoshaji unaofanya! Mt Kilimanjaro haijawahi kuwa chini ya Kenya au wakoloni wao!
Na wao wanaamini 😅😅😅😅Hela zimeenda kujenga base kwenye moon 😁
Kuna visiwa kama vya Comoro ni vidogo ila ni Nchi, ila Zanzibar iliingia Muungano.The purchase of the Kenyan coast from the Zanzibari Sultanate happened at the same time the purchase of the Tanzanian coast happened. If both purchases hadn't happened, Zanzibar would have been a large country at independence and would not have had the motivation to join with Tanganyika.
1. Comoro iko mbali na nchi zingine, haingemake sense Comoro kuijiunga na nchi nyingine kwa sababu ya huo umbali.Kuna visiwa kama vya Comoro ni vidogo ila ni Nchi, ila Zanzibar iliingia Muungano.
Sababu za Muungano ni zaidi ya udogo wa Nchi.
Mkunya yeyote roho humuuma ebu muulize wao wana visiwa gani vya maana kuwezesha cruise ships kutia nanga?Kuna visiwa kama vya Comoro ni vidogo ila ni Nchi, ila Zanzibar iliingia Muungano.
Sababu za Muungano ni zaidi ya udogo wa Nchi.