Capt Richie
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 1,503
- 3,818
Thank you to show us the level of your poverty.
Mombasa yenye mud houses CBD?Any city in Tanzania that can compare to Mombasa!?
View attachment 2970548
Moja ya kazi nzuri sana za Magufuli hizi. Wa-Egypt wakitimiza matakwa ya kimkataba ya Nyerere Dam.
Kijinga sana hicho kijamaa. Yapi ameletwa na Magufuli hapo na ndio kazi zao za kwanza East Africa.Unaona vinaelea unafikiri viliokotwa, ni nani aliyemleta Erdoğan Tanzania na kufanya makubaliano, bila kusahau Yapi Merkezi?
Hawezi akamsogolea mahiga huyo
Kijana alifutiwa matokeo ya mtihani Galanosi kwa sababu ya udanganyifu na kwenda kupata Div 3 huko Forest Hill. Hamna kitu huyo jamaa.Am not a fan of this guy in any way lakini hapa at least naona junior Mahiga, Tanzania tunasifa ya kutoa vichwa kwenye global platforms naona bado tunamaintain legacy yetu, am not his fan at all though!
View: https://youtu.be/R_lpWryKn2k?si=CciOZsNGmbPCx8Rn
Matakwa ya kimkataba ya Nyerere Dam yalikuwa ni kujenga industrial park? 😁😁😁😁😁Moja ya kazi nzuri sana za Magufuli hizi. Wa-Egypt wakitimiza matakwa ya kimkataba ya Nyerere Dam.
Erdogan aliwahi kuja lini Tanzania? Vimefaulu Kwa Samia mnatafuta kubebesha Marehemu 🤣🤣Unaona vinaelea unafikiri viliokotwa, ni nani aliyemleta Erdoğan Tanzania na kufanya makubaliano, bila kusahau Yapi Merkezi?
Halafu CDF Ogolla anakufa kirahisi.Kenya has been keenly working on establishing strong presence in Space exploration and science. Been working with China to establish permanent station on the moon.
Together with that, Kenya has been working on Rocket and Missile program called nakuja.
These rockets are being developed 100% in Kenya.
View attachment 2970541View attachment 2970542View attachment 2970543View attachment 2970545View attachment 2970546