ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,322
- 89,731
Mpumbavu wa wapi wewe Muungano ulitokea baada ya Sultan kupinduliwa! Na kama Mombasa ingekuwa chini ya Sultan kipindi cha Mapinduzi ingekuwa chini ya Muungano saahii! BTW thanks the Queen of England for buying Mombasa from Zanzibar Sultanate!Yafaa mshukuru huo ununuzi ulifanyika maanake bila hilo Zanzibar haingeungana na Tanganyika.
Unabisha au ?? Ww Kwanza ushoga unaujua wewe ?? 😅😅😅😅Ya tatu kwa ushoga pengine😀View attachment 2970440
Wivu tu unakusumbua😉Ya tatu kwa ushoga pengine😀View attachment 2970440
Wewe usimpe moyo kabisa, iyo miaka anayosema yeye ndio bongo fleva ilikuwa na kizazi cha dhahabu ambacho hakijawahi kutokea, nikuulize wewe jua kali utamfananisha na Juma nature? Ana hit songs ngp? Huyo mkenya ni mpumbavu anayependa kubishana kwa kila kitu, tangu lini mziki wa Kenya ukawa juu ya mziki wa Tanzania? Waongee wacongo lkn sio takataka yoyote hapa EA
💯 MkuuWewe usimpe moyo kabisa, iyo miaka anayosema yeye ndio bongo fleva ilikuwa na kizazi cha dhahabu ambacho hakijawahi kutokea, nikuulize wewe jua kali utamfananisha na Juma nature? Ana hit songs ngp? Huyo mkenya ni mpumbavu anayependa kubishana kwa kila kitu, tangu lini mziki wa Kenya ukawa juu ya mziki wa Tanzania? Waongee wacongo lkn sio takataka yoyote hapa EA.
Halafu kazi yenyewe ya kwaida sana 😀😀😀Huyu dogo sometimes huwa namuonea huruma sana, anawajua Wakenya vizuri kweli huyu? Anyways ngoja tumuache tusimwambie, he is in love akiachwa ataacha😅😅
View attachment 2968453
Unaona vinaelea unafikiri viliokotwa, ni nani aliyemleta Erdoğan Tanzania na kufanya makubaliano, bila kusahau Yapi Merkezi?Wafuasi wa Shujaa Watakwambia Mauzo yameongezeka sababu ya Mwendazake 😆😆👇👇
View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1781237856364613916?t=w-eGXOG7oPQchNLZ7OLpBQ&s=19
View: https://twitter.com/kigogo2014/status/1781338822812586249?t=gPcRv1Gw0phXH3Y4QGisbw&s=19View attachment 2968910
West Africa ina watu wa Ovyo sana Africa Bado wanapenda kutawaliwa kuliko sehemu nyingine za AfricaFrom one colonialist to another.
Hawezi akamsogolea mahiga huyoAm not a fan of this guy in any way lakini hapa at least naona junior Mahiga, Tanzania tunasifa ya kutoa vichwa kwenye global platforms naona bado tunamaintain legacy yetu, am not his fan at all though!
View: https://youtu.be/R_lpWryKn2k?si=CciOZsNGmbPCx8Rn
Ukipata picha kama hii watanzania wapo kwenye mashemeji derby najinyonga
Tunazidi kujitanua, now tumeingia SA, Yanga imepata mashabiki wengi sana kule, leo kuna mkenya alikuwa anasafiri kwenda kwao yani aliiongelea Yanga kana kwamba anaijua sana yn amefurahi sana Yanga kuipiga simba, kwakifupi timu zetu Simba na Yanga zinapendwa Africa nzima, viongozi wajipange kutengeneza pesa.
Watanzania hawana pesa za kuja kuwatch game za Kenya. Kenyans on the other hand have got money, they travel anywhere they like.Ukipata picha kama hii watanzania wapo kwenye mashemeji derby najinyonga View attachment 2970531
Ukiondoa kina rostam na dewji watanzania wenye uwezo wakuja Kenya kucheki game hawafiki tano🖐🏾Ukipata picha kama hii watanzania wapo kwenye mashemeji derby najinyonga View attachment 2970531
Kwani karasani Si ipo wazi?Kule FB wachawi wanapewa kichapo kweli kweli😂😂
View attachment 2970168