Ndio maana nimeamua kuachana nae, diplomatic issues ni nyingi kuanzia watimuliwe Kongo, kukaribisha wapinzani Nairobi, Somali Maritime Border dispute, Ethiopia na kutumia bandari ya Somaliland.Waulize Migingo Island ni ya kenya au uganda?
Japo sikufurahishwa na matokeo lakini inabidi niweke tuu hii π Ligi pendwa EA hii ni sawasawa na EPL ya Africa Mashariki na kati π
View: https://www.instagram.com/reel/C5-2B1uMZ0M/?igsh=ZXgxa2tlZTBxMGhl
So diplomatic issues ndio zinafanya useme hatupendwi? Hivi Tanzania hamna diplomatic dispute? Hiyo inayoendelea na Malawi ni Gani? Rwanda je? Na Ile ya Mozambique? Wacheni unafiki. Nenda mitandaoni wakenya tunapendwa kote kote na ukitaka niporomoshe video humu ujionee.Ndio maana nimeamua kuachana nae, diplomatic issues ni nyingi kuanzia watimuliwe Kongo, kukaribisha wapinzani Nairobi, Somali Maritime Border dispute, Ethiopia na kutumia bandari ya Somaliland.
Na vyote vipo humu.
Wewe usimpe moyo kabisa, iyo miaka anayosema yeye ndio bongo fleva ilikuwa na kizazi cha dhahabu ambacho hakijawahi kutokea, nikuulize wewe jua kali utamfananisha na Juma nature? Ana hit songs ngp? Huyo mkenya ni mpumbavu anayependa kubishana kwa kila kitu, tangu lini mziki wa Kenya ukawa juu ya mziki wa Tanzania? Waongee wacongo lkn sio takataka yoyote hapa EA.Zamani Kenyans mlikuwa poa sanaaaa kwenye Music, sikatai Ngeli ya Ya Genge ya Jua kali was my favorite song ever toka Kenya, shida sijui mli felia wapi.
Now mko juu ya mawe hamuwezi haya rudisha ile test ya music ya zamani.
Kwa nini unalazimisha kupendwa?ππ. ...Nenda mitandaoni wakenya tunapendwa kote kote...
π€£π€£π€£Ushindwe!
Ule ugomvi wao na Somalia kuhusu maritime border wanajitoa ufahamu ama?Waulize Migingo Island ni ya kenya au uganda?
Leo tutaona derby ya ndondo kwenye jaruba la mpunga πKwenye dabi yao watuletee Watanzania walioko huko ama walio enda kuangalia mechi
They are just desperateTanzanians huchukua chochote kwa mitandao ya Kenya kama ukweli na wanakimbia nayo. General Ogolla hata hakupelekwa Kisumu na Helikopta.
View attachment 2969694
Kumbe hata nyinyi pia mko na migogoro na majirani? Hii Dunia lakini!! Blind patriotism ni kitu cha kijinga sanaInternational law stipulates that whenever there is a water body shared or sandwiched between two countries the maritime border should be at the median of the lake. Malawi claims all the lake on Tanzanian side and says the border should be the beach on Tz side.
Yani mfano tu claim lake victoria halafu hapo Kenya muishie beach tuu msiguse maji yetu hii ni mikataba ya kipuuzi iliyoingiwa na wakoloni bila kuhusisha wahusika wenyewe.
Kama vipi wapeleke kesi kwenye mahakama za kimataifa mbona wana develop cold feet?
Kunywa uji moto kama inakuumaUkisikia kizembe sana ndio hii.
Gazeti ipi bongolala?Hebu soma hilo gazeti lenu linasemaje; usinipotezee muda na vijimaneno vyako vya kinyang'auπ
Commercial complex??Nssf commercial complex πππππ
Shida yako wewe ni Wivu unakusumbua
Tueleze hikiCommercial complex??
Alafu unaiita mall?ππ
Even these ones here are commercial complexesView attachment 2969967
Bongolala, that was used by your deputy prime minister (sura kama kenge) who was in attendance. Desperation itawaua
Usinichoshe tafadhaliπGazeti ipi bongolala?
Mimi ni Reporter tu. Muulize Winnie maelezo mengi.Bongolala, that was used by your deputy prime minister (sura kama kenge) who was in attendance. Desperation itawaua
Hii kitu imekuuma Sana kuwepo moshi πππCommercial complex??
Alafu unaiita mall?ππ
Even these ones here are commercial complexesView attachment 2969967