Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi statistics hazielezei meat consumption in Tanzania! meat consumption in Tanzania na beef export from Tanzania ni vitu viwili tofauti!
Sikuongelea matumizi ya ndani, haya hayajabadilika sana.Ila niliongelea export ambayo ilisababishwa na zile mashine za machinjio za kisasa, unakumbuka ile shtukiza ya vingunguti?. Zamani ilikuwa vigumu kuexport nyama zetu kwakuwa hatukuwa na machinjio ya kisasa, pamoja na uwezo wa kusafirisha nyama ng'ambo.
 
dar ni namba ngapi kwa hiyo list.... πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ one day mtashtukia tu MOMBASA city imewapiku kiuchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…