Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa inaweza itesa Mwanza kwenye hotels 7bu ni tourist hub!!
 
Kama haina kitu mbona kaitaja? vitu visivyo na maana havipaswi kutajwa
Ww wacha kujitekenya na vitu vya kijinga,tuletee Nairobi apa tuko na business nayo...Mombasa ni kata moja tu apa Dar
 
Kipindi icho Dar itakuaje? Mombasa itabaki kukimbia eldoret na kisumu pekee uko Kunya
Sijawah kushuhudia mwaka wakenya wametoa mapovu kama mwaka huu😀😀😀😀😀 great 2017
 
Ndo maana mnashida na land
 
.
So you're insinuating that copying everything foreign is the way to go? You might as well go ahead and tan your skin because that's also foreign. A poor person from Kenya is proud of high prices of land that he can't afford? This is nonsensical.
 
Ndo maana mnashida na land
Shida gani wakati nimekueleza huku kwetu watu wako na ancestral land? Ama kizungu ndo inakupiga chenga? While you lease land from the government for 36 years in Tanzania, I own my land for life here in Kenya. Kati ya hawa watu wawili nani ako na shida?
 
Ala!,Uzi ulibadilika na kuwa Dar vs Mombasa...Interesting times ahead, Wakenya apana macheso.
Uzi unaenda ukibadilika sana,there was a time the battle was upanga vs the rest of kenya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
.
So you're insinuating that copying everything foreign is the way to go? You might as well go ahead and tan your skin because that's also foreign. A poor person from Kenya is proud of high prices of land that he can't afford? This is nonsensical.
We are not coppying anything. I said that it's by DEFAULT. Mbona hata kizungu rahisi hivi hamwezi elewa? I said that it's by default for big cities like Nairobi to have exorbitant land prices. it's not by design, it's by deault my brother. I even gave examples of other big cities where prices of land is even more expensive than here in Nairobi. And again, si makosa ya Nairobi kuwa regional and continental hub hapa Africa ndiyo price ya land ikuwe juu. Blame it on investors and international companies who choose it over Dar. I hope umenielewa sasa.
 
Investors over everything,ur topic ain't tangible
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…