Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,146
- 33,021
Mwaka huu nyang’au hawana pa kujificha🙂nimekutana na mechi ya ligi kuu ya kenya , honestly I take this as a Joke. Mpira mbovu, poor stadium , pitch mbovu na Chafu kama shamba la mpunga, hivi Kwanini Azam asinunue ligi hata ya Rwanda au Uganda? Imagine wachezaji ni wengi kuliko mashabiki. Na hawa ndio wanataka waandae Afcon View attachment 2963411View attachment 2963412View attachment 2963413View attachment 2963414
KCB wanarusha matangazo kwa HD!?Exclusive rights for Free to air platforms, azam waliibiwa.View attachment 2963265
KEY WORDS.nimekutana na mechi ya ligi kuu ya kenya , honestly I take this as a Joke. Mpira mbovu, poor stadium , pitch mbovu na Chafu kama shamba la mpunga, hivi Kwanini Azam asinunue ligi hata ya Rwanda au Uganda? Imagine wachezaji ni wengi kuliko mashabiki. Na hawa ndio wanataka waandae Afcon View attachment 2963411View attachment 2963412View attachment 2963413View attachment 2963414
Aibu sana . Halafu wanadai wameendelea.Mwaka huu nyang’au hawana pa kujificha🙂
Yemeni ni nchi ilokua na vita tokea 1990.Oooh sikujua kwa akina ichoboy01 ni Yemen😂😂😂. Yani jamaa anatoroka one LDC to another LDC.
I think Yemen is poorer than Tanzania 😂😂
Edna uangalie Chapa Dimba uone real soccer therenimekutana na mechi ya ligi kuu ya kenya , honestly I take this as a Joke. Mpira mbovu, poor stadium , pitch mbovu na Chafu kama shamba la mpunga, hivi Kwanini Azam asinunue ligi hata ya Rwanda au Uganda? Imagine wachezaji ni wengi kuliko mashabiki. Na hawa ndio wanataka waandae Afcon View attachment 2963411View attachment 2963412View attachment 2963413View attachment 2963414
Kati ya hiyo chaps dimbwa na Kenya premier league which one is better ?
miguu yako ina tank siku hizi?
Most definitelyKCB wanarusha matangazo kwa HD!?
Zeeka pole pole malaya hii. Umetembea kwa miguu maishani mwako wote unadhani mimi pia ni kama wewe? I don’t walk, I drive.miguu yako ina tank siku hizi?
inawakilisha nini kwa mfano mzee wangu, wewe ni kenge maji ubalozi ama ardhi ya ubalozi ni nchi kamili ya sehemu inapowakilisha ndio maana unaona kuna mvutano kati ya irani na israel.Sasa embassy ya US hapo Tanzania imekuwa Dunia nzima? Yani Wabongo mnahitaji elimu kama jana.🙄🙄
kajifunze kiswahili.Na maskio kama za Sungura
rudi shule ama omba uelimishwe namna ya kuandika kiswahili au we andika kikamba tuu.uliongana
utoto raga sana walah!Do you know your taxonomic classification? Are you a human being ama Avatar?
View attachment 2963276
View attachment 2963277
Aawapii Leta evidence ya huo mkataba wa FKF na KBC kama hii!Mulipigwa, Azam haina exclusive copyrights za KPL, FKF iliwauzia KBC hatimiliki ya kuonyesha mechi za KPL ($1.25m) kwa free to air platforms. Sasa nani atanunua decoder za Azam wakati KBC inashika mpaka kwenye digital tvs bila malipo. Ndo maana nikasema wacha tule pesa za wajinga.