Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kolo una swali lingine kuhusu huu ujinga wako wa zip line in tz?.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
I wish you also responded this fast to our numerous requests asking you to show us aerial views of your residential areas in Dar. Ungekuwa kijana mzuri sana.
kwanini sisi tunapohitaji picha za kibera,mathare na slum mbalimbali hapo Nairobi,umewahi kuona tuki-demand wakenya mtuletee?...acheni uvivu...tafuteni wenyewe aerial photos za makazi ya watu wa dar halafu mzilete hapa.

ukiona mtoto wa kiume ana-demand sana kufanyiwa kitu na mwanaume mwenzake,basi huyo anatatizo kubwa katika jinsia yake.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
That's totally different na huku Kenya. In kenya, there's what we call ancestral land. Ile land umeridhi kutoka kwa babako na babako pia aliridhi kutoka kwa babu yako. Serikali haina usemi kwa ardhi kama hiyo unless ni mradi wa serikali vile umetaja hapo juu of which you will be compensated by the government. Then kuna hiyo ya kulease for a period of 99 years though hiyo si mob huku kwetu. Halafu kuna ardhi ya serikali ambayo hakuna mwananchi yeyote ako na usemi. For example, the whole of kibera is government land. in kenya, ukishanunua ardhi na kupokea title deed that land belongs to you. The only thing the government will require from you ni kulipa annual land rates which is a very small fee but this mostly happens in big towns and cities
 
Mimi Mtz ila usifananishe Nairobi na vitu vya ajabu; Dar has a sweet name but the city is dirty!
wewe sio mtz wa kwanza kuja katika thread hii na mtizamo wa aina hiyo.walishakuja wengi,ila baadae wakatoweka.

ni usafi gani wa nairobi unaofanya dar iwe chafu.tuanzie ku-debate hapo kwanza halafu tuhamie upande mwingine.

plz usisahau kuambatanisha majibu yako na ushahidi wa picha au screenshot.jukwaa hili hatupigi porojo,bali tunatoa maelezo na vielelezo.twende kazi mtz mwenzangu.
 
Hii nyumba imekosa fedha ya finishing?ni mwaka unaisha bado iko kama gofu [emoji23][emoji23]
Sema tu nacho yako haiwezi amini hapo ni mombasa. Ama macho inakubali lakini moyo ndo inakataa? You wish it was in your ldc
 
hii ni ya Tuusan na wengine wanaofikiri Mombasa ni ligi yao...tazama hapa alafu fananisha na huo mji wenu sijui niite village, Mwanza...
 
hii ni ya Tuusan na wengine wanaofikiri Mombasa ni ligi yao...tazama hapa alafu fananisha na huo mji wenu sijui niite village, Mwanza...
Hamna kitu hapo filter kibao wakati majengo ya kisasa ni machache mengi ni ya kizamani yale ya wahindi na waarabu yako kma vichuguu vya mchwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…