Kuna raia kibao asili ya Iran na Uarabuni na India wamefia Tanzania na wamezikwa Tanzania.Acah kujilazimisha Rostan ni muiran! Hata hao waarabu na wahindi hapo watarudi kwao wamekuja kuchoza mali za mazuzu! Hamna anaetaka akae Tanzamavi
NAKUSIHI UJE DAR TEMBELEA MAKABURI YA KISUTU kuna makaburi mpaka ya WAHINDU NA MABUDHA KULE.
Kuna Temple ya wahindu barabara ya DIT bibi titi.
Ukienda Kilwa na Rufiji kuna waarabu wanajiita wandengereko na Wangindo na wapo vizazi na vizazi toka kipindi cha Kilwa ikiwa kama jiji lenye sarafu yake kabla ya kuja kwa Portuguese.
Na Tabora kuna waarabu wa Dubai kibao wanaojiita wanyamwezi wamezaana huko ikiwemo Marehemu babu yangu wanawaitaga waarabu wa Nzega.
Unazungumza ufala gani we jamaa!?