Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Toilet boy Venice doesn't have roads or cars but its a popular tourist destinationšŸ¤“ why are bongolalas stupid?? Alafu barabara ziko kibao Lamu🚮View attachment 2962294
Unatafuta sababu yakutokea hao wenzetu wanakila kitu Wana proper infrastructures, Wana social services zilizo Bora, Wana technology, nyinyi muna nn zaidi ya watu Karne hii wanapanda punda wakat hao mabwana zenu wanawaza kwenda mars šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…
 
Kweli umefikia kufananisha Venice na lamu.? 🤣🤣🤣🤣 Shame on you
Hata America ikiwa na deni na wenyewe pia wanajifananisha na America au japanšŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…

Wakat America anakopa anauwezo wa kulipa SASA wao wanakopa kwa halima kulipa deni la John 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hajulikani and that’s why no serious Kenyan is talking about him.
Yani nijue mtu kisa amenunua BMW.šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Kuna watu na ma Rolls Royce humu Kenya na siwajui lakini nijue mtu kutoka bongolala juu amenunua BMW. Akili mbaya.šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Yani nijue mtu kisa amenunua BMW.šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Kuna watu na ma Rolls Royce humu Kenya na siwajui lakini nijue mtu kutoka bongolala juu amenunua BMW. Akili mbaya.šŸ˜‚šŸ˜‚
Wewe kima mluga luga unajua nini kuhusiana na entertainment.? 🤣🤣🤣, unadhani ukiwa wa ushagoo hata uje mjini still huwezi jua kitu. 🤣🤣 Waulize kina KRG the Don ndio Wanajua wewe pimbi mmoja utajua nini.?
 
SASA kama hajulikani club kubwa kama hzo Kenya wangemuita wakampa mpaka escort na convoy kama rais wa nchi ??šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…

Na hapo kachukua dollar zake kaondoka
Broh unapoteza muda kubishana na huyo mshamba mwenye alijisifu kwa kuvaa viatu za matairi.? 🤣🤣🤣 Huyo hawezi kumjua mtu yeyote kwenye entertainment industry juu huyo ni shamba boi. Muache tu sio kosa lake huyo.
 
SASA kama hajulikani club kubwa kama hzo Kenya wangemuita wakampa mpaka escort na convoy kama rais wa nchi ??šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…

Na hapo kachukua dollar zake kaondoka
Unabishana na mtu mwenye hajawahi fika hata nje ya club, 🤣🤣🤣we unadhani anaweza jua hata any Kenyan DJ ? Clubs Zenyewe hajawahi enda.
 
Yani nijue mtu kisa amenunua BMW.šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Kuna watu na ma Rolls Royce humu Kenya na siwajui lakini nijue mtu kutoka bongolala juu amenunua BMW. Akili mbaya.šŸ˜‚šŸ˜‚
Toilet boy amekazana na yeye as if huyo ndio huwa anamlisha. Isipokuya yeye mimi hata singejua kuna Dj Tanzania.
 
Wewe kima mluga luga unajua nini kuhusiana na entertainment.? 🤣🤣🤣, unadhani ukiwa wa ushagoo hata uje mjini still huwezi jua kitu. 🤣🤣 Waulize kina KRG the Don ndio Wanajua wewe pimbi mmoja utajua nini.?
Who KRG the Don? Yani mnatuambia majina ya jokers.
 
SASA kama hajulikani club kubwa kama hzo Kenya wangemuita wakampa mpaka escort na convoy kama rais wa nchi ??šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…

Na hapo kachukua dollar zake kaondoka
Hadi Embaramba na Stivo simple boy huwa wanapewa escot just to inflate their ego. Huyo jamaa wenu alikuwa anamassagiwa egos zake.
 
Back
Top Bottom