chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,742
- 46,084
Hakuna hunting inayofanyika kwenye NPs wala NPs ecosystems, ni kwenye reserved areas tu na Tanzania reserved areas ni kubwa kuliko NPsHao ndovu wa Serengeti ecosystem wanakaa miezi 8 Kati ya 12 Tanzania! Huwezi ku-claim wenu! Mshenzy wa tabia wewe! Culling itaendelea na hamtafanya lolote!
1st of all, those are wildebeests, not elephants. Secondly, the elephants in question are Amboseli elephans, not Maasai Mara elephants. Stop being stupid Geuza Ulale.Soma the great migration pattern!
Masai mara is like a door mat of Serengeti lakini hizo kelele sasaSoma the great migration pattern!
Unaonyesha thread uliyoanzisha mwenyewe kama evidence? Una ugonjwa wa akili?Quality Hotels and Resorts: Nairobi vs Zanzibar
Now some of individuals brag a lot about Nairobi quality facilties without knowing Zanzibar Island has relative the same quality facilities. It's time to make this known.www.jamiiforums.com
Najua roho inakuuma na kila mkianzisha upuuzi wenu humu huwa naileta kuwakata ngebe! Sasa wewe nini kinakushinda ku-post hizo lodge na hotel zenu za 5 star Nairobi ikafikia Zanzibar? The fact is hamna sehemu ina 5 star hotels nyingi kama Zanzibar in East and central Africa! Mwaka huu kuanzia December mpaka sasa kuna project zisizopungua nne za 5 star facilities zimekuwa launched! Ukweli ni Kunyaland ni nchi haina uwezo ku-host events nje ya Nairobi!Unaonyesha thread uliyoanzisha mwenyewe kama evidence? Una ugonjwa wa akili?
idiot IamLee Jina la kampuni linaitwa Tropic helicopters na si tropical air! Jamie Roberts ana haki kuanzisha kampuni popote pale kama alivyoanzisha Tropical air Kenya!With Tanzanias registration marks of course 🤗😁
It's Tanzanias!
View attachment 2960420View attachment 2960421View attachment 2960422View attachment 2960423View attachment 2960424
Wacha upuzi. Unatukata ngepe kwa maneno yako? Yani utuletee uzi ulioanzisha mwenyewe eti ndio proof? Wewe weka hapa list ya 5 star hotels Zanzibar mimi niweke za Nairobi tuone gani nyingi. Alafu ukianza mambo ya projects zinazokuja najua ushaanyosha mikono. 🤣 🤣Najua roho inakuuma na kila mkianzisha upuuzi wenu humu huwa naileta kuwakata ngebe! Sasa wewe nini kinakushinda ku-post hizo lodge na hotel zenu za 5 star Nairobi ikafikia Zanzibar? The fact is hamna sehemu ina 5 star hotels nyingi kama Zanzibar in East and central Africa! Mwaka huu kuanzia December mpaka sasa kuna project zisizopungua nne za 5 star facilities zimekuwa launched! Kunyaland ni nchi haina uwezo ku-host events nje ya Nairobi!
Link Quality Hotels and Resorts: Nairobi vs ZanzibarWacha upuzi. Unatukata ngepe kwa maneno yako? Yani utuletee uzi ulioanzisha mwenyewe eti ndio proof? Wewe weka hapa list ya 5 star hotels Zanzibar mimi niweke za Nairobi tuone gani nyingi. Alafu ukianza mambo ya projects zinazokuja najua ushaanyosha mikono. 🤣 🤣
Broo, weka list ya 5 star hotels if you want a serious discussion. Wacha kunipa link ya page yako ya utopolo. Your page is not proof. Stop being stupid like Kinjekitile.Link Quality Hotels and Resorts: Nairobi vs Zanzibar
Ina Page 5 tayari ya hotels za 5 star! Feel free kuweka hizo za Nairobi! Na nilitengeneza link kwa makusudi! Inakuwa rahisi kunyamazisha kelele!
Hunipangii cha kufanya thread ile kaweke hizo hotels za Nairobi! So far over 20 Zanzibar : 0 Nairobi!Broo, weka list ya 5 star hotels if you want a serious discussion. Wacha kunipa link ya page yako ya utopolo. Your page is not proof. Stop being stupid like Kinjekitile.
Kwani nimekulazimisha kupost? Wewe mwenyewe umepost so the onus is on you to provide proof and because you haven't provided, your claims are null and void. Usidhani sisi ni hawa vinyangarika bongolala unapigianga kelele wanakuogopa. Hapa you either post evidence or you shut up. Sio unajipiga punyeto alafu eti hiyo ni evidence ya kupeana mimba.Hunipangii cha kufanya thread ile kaweke hizo hotels za Nairobi! So far over 20 Zanzibar : 0 Nairobi!
For Mombasa vs Zanzibar; page 8 tayari! Mwendo wa copy and paste tu!
Mombasa and Zanzibar Beach Lodges comparison
Emotions aside these two cities i.e. Stonetown city n Mombasa city have so much in comon. From international airports to ports to world class hotels, resorts n lodges to historical attractions, real estates n culture n traditions to go with. Please feel free to share what u find beautiful from...www.jamiiforums.com
Post List yako! Mimi ni ku-copy na ku-Paste! Kama hujawa mdogo kama sisimizi! Schwein!Kwani nimekulazimisha kupost? Wewe mwenyewe umepost so the onus is on you to provide proof and because you haven't provided, your claims are null and void. Usidhani sisi ni hawa vinyangarika bongolala unapigianga kelele wanakuogopa. Hapa you either post evidence or you shut up. Sio unajipiga punyeto alafu eti hiyo ni evidence ya kupeana mimba.
You made the claim, post the list with photos mimi nikujibu na uache ujinga.Post List yako! Mimi ni ku-copy na ku-Paste! Kama hujawa mdogo kama sisimizi! Schwein!
Nairobi has more 5* hotels than both Arusha, Dar and Zanzibar combined. Dar only have five 5* hotels.You made the claim, post the list with photos mimi nikujibu na uache ujinga.